Muda uliokuwa unatumia kueneza propaganda fake zidi ya Yanga ungeutumia kufuatilia na kushauri mazuri kwa timu yako msingefika huku.Hawa viongozi wanafanya mambo kwa mihemko na kuwafanya wapenzi wa Simba kama mazombi.
Hivi sasa wanataka kumrudisha Kishingo,kocha aliyeshindwa club nyingine.
Hii ni dharau ya hali ya juu sana.
Simba inahitaji kiongozi kijana,mwenye kujua fitna za mpira.Mtu asiyeyumbishwa na wachezaji.
Kama mnamrudisha Kishingo,itakuwa kosa kubwa sana mara nyingine
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Atimaye umetoka mafichoni baada ya kocha wako mpendwa objectiveeeee kitupiwa viragoš¤£š¤£Hawa viongozi wanafanya mambo kwa mihemko na kuwafanya wapenzi wa Simba kama mazombi.