Viongozi wa Simba wanapaswa kujiuzulu

Viongozi wa Simba wanapaswa kujiuzulu

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hawa viongozi wanafanya mambo kwa mihemko na kuwafanya wapenzi wa Simba kama mazombi.

Hivi sasa wanataka kumrudisha Kishingo, kocha aliyeshindwa club nyingine. Hii ni dharau ya hali ya juu sana.

Simba inahitaji kiongozi kijana, mwenye kujua fitna za mpira. Mtu asiyeyumbishwa na wachezaji. Kama mnamrudisha Kishingo, itakuwa kosa kubwa sana mara nyingine

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Duuu!!!!!

Kwanini usitafakari kabla ya kuandika na kupost hapa jf.

Umeandika kwa kukurupuka sana kaka.

Samahani lakini nadhani ungetafakari kwanza.
 
Hawa viongozi wanafanya mambo kwa mihemko na kuwafanya wapenzi wa Simba kama mazombi.

Hivi sasa wanataka kumrudisha Kishingo,kocha aliyeshindwa club nyingine.
Hii ni dharau ya hali ya juu sana.

Simba inahitaji kiongozi kijana,mwenye kujua fitna za mpira.Mtu asiyeyumbishwa na wachezaji.
Kama mnamrudisha Kishingo,itakuwa kosa kubwa sana mara nyingine

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Muda uliokuwa unatumia kueneza propaganda fake zidi ya Yanga ungeutumia kufuatilia na kushauri mazuri kwa timu yako msingefika huku.
 
Hawa viongozi wanafanya mambo kwa mihemko na kuwafanya wapenzi wa Simba kama mazombi.

Hivi sasa wanataka kumrudisha Kishingo,kocha aliyeshindwa club nyingine.
Hii ni dharau ya hali ya juu sana.

Simba inahitaji kiongozi kijana,mwenye kujua fitna za mpira.Mtu asiyeyumbishwa na wachezaji.
Kama mnamrudisha Kishingo,itakuwa kosa kubwa sana mara nyingine

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Atimaye umetoka mafichoni baada ya kocha wako mpendwa objectiveeeee kitupiwa virago🤣🤣
 
Wakuajiri wewe au?, Punguzeni mihemko mshindo ebooh!. Nyie sindio mlikuwa mnasema viongozi vijana kana Eng.. wanavaa kihuni?, Sindio nyie mlisema Nabii amefeli kila timu kimataifa?.
 
Back
Top Bottom