Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
- Thread starter
- #21
Kwa hiyo una kubaliana na maneno ya hans kuwa chama ame ihujumu SimbaKama zinasajili ili zishinde, why uwahoji wakilalamikia malengo yao kutotimia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo una kubaliana na maneno ya hans kuwa chama ame ihujumu SimbaKama zinasajili ili zishinde, why uwahoji wakilalamikia malengo yao kutotimia?
Mjanja mjanja sana , mwezie wa Azam hawez andika vitu kama hiviHuyu jamaa ndo tajiri anaongoza kwa uswahili bongo
Nini maana ya hujuma?Kwa hiyo una kubaliana na maneno ya hans kuwa chama ame ihujumu Simba
Huyu aitwe mbele ya kamati ya maadili yaani TFF wakinyamazia hili ntawashangaa
Toka atekwe hakili yake imebadlika amekuwa level moja na kina lokoleWe ambaye siyo mswahili utajiri wako uko wapi?
Sio hakili mkuu ni akili....Toka atekwe hakili yake imebadlika amekuwa level moja na kina lokole
AyaSio hakili mkuu ni akili....
Aibu naona mimi
Makocha wa Tanzania wame elimika kwa sasa kinacho waponza simba nikutumia aina moja ya uchezaji toka mwaka jana.! sasa tutajionea mengiAibu naona mimi
Ndio maana tunahoji uwezo wa kocha ni rahisi timu pinzani kumdhibiti kwa sababu game plan yake inajulikanaMakocha wa Tanzania wame elimika kwa sasa kinacho waponza simba nikutumia aina moja ya uchezaji toka mwaka jana.! sasa tutajionea mengi
Simba akikutana na timu kama azam lazima atakalishwa maana kocha wa azam anajua kuchange mfumo kulingana na mchezo. tofauti na kocha wa simba anae bebwa na baadhi ya wachezajiNdio maana tunahoji uwezo wa kocha ni rahisi timu pinzani kumdhibiti kwa sababu game plan yake inajulikana
Yani huyu jamaa bana, kama sio tajiri yani.
Msimu uliopita Azam alifungwa mechi zote hadi za majaribio.Simba akikutana na timu kama azam lazima atakalishwa maana kocha wa azam anajua kuchange mfumo kulingana na mchezo. tofauti na kocha wa simba anae bebwa na baadhi ya wachezaji
Yaani walisajili mbeba viatu?Walipo fungwa na Ruvu kiongozi wao alisikika akisema 'Simba ni klabu iliyo fanya usajili mkubwa haiwezekani inafungwa na katimu ka VPL.
jana tena huyo kiongozi anadai Simba ilistahili kushinda isipo kuwa kuna wachezaji wali ihujumu.
Napia hawa viongozi wamekuwa walalamishi sana kwa marefa pindi timu yao ikifungwa au kutoa sare.
#UPDATED
Leo ndg kaduguda kiongozi wa SIMBA SC amesema uwezo wa morrison ni wa kawaida sana na tusi shangae akibeba viatu vya wachezaji wenzie"
Je, kwa usajili walio fanya SIMBA SC, ni kweli hawastahili kufungwa?