Viongozi wa Simba wanataka kutuaminisha Simba SC ni unbeaten

Anajua kinachofuatia ni shinikizo la kuweka 20b ndiomaana anatapatapa.
 
Simba na Azam hii mechi tutaona mengi sana
 
Makocha wa Tanzania wame elimika kwa sasa kinacho waponza simba nikutumia aina moja ya uchezaji toka mwaka jana.! sasa tutajionea mengi
Ndio maana tunahoji uwezo wa kocha ni rahisi timu pinzani kumdhibiti kwa sababu game plan yake inajulikana
 
Ndio maana tunahoji uwezo wa kocha ni rahisi timu pinzani kumdhibiti kwa sababu game plan yake inajulikana
Simba akikutana na timu kama azam lazima atakalishwa maana kocha wa azam anajua kuchange mfumo kulingana na mchezo. tofauti na kocha wa simba anae bebwa na baadhi ya wachezaji
 
Simba akikutana na timu kama azam lazima atakalishwa maana kocha wa azam anajua kuchange mfumo kulingana na mchezo. tofauti na kocha wa simba anae bebwa na baadhi ya wachezaji
Msimu uliopita Azam alifungwa mechi zote hadi za majaribio.

Labda msimu huu ajitetee kwa droo
 
Yaani walisajili mbeba viatu?

Mikia akili yao wanaijua wenyewe. Usajili wao ukiacha Chama, ulikuwa wa kuikomoa Yanga. Hasa wakati Yanga ikiwa haina pesa. GSM game changer !

Sasa Mo aweke B20 kama anazo
 
Simba mkamateni Hans pope na mpelekeni Mirembe,hawezi kosa kuwa na kichaa yule......yule anadhihirisha ule umbumbumbu aliousema Rage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…