Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Yule mzee ni LunaticIle kauli ya Patrick Aussems ndiyo nimeilewa jana kwa alichoongea HansPop
Hanspope ni kichekeshoYule mzee ni Lunatic
Yanga nae ni kama CCM tu
watu wengine ni wajinga sana.!Wewe koma usiifanishe Yanga na chama tawala
Na mwamedi yupo kimaslahiSimba ni katimu ka kihindi, kalifaa tu kacheze cricket au songi.
Katimu ambako kaliundwa wa watu waliokosa Uzalendo. Muda si mrefu, taifa litaingia aibu sababu ya haka katimu kanakomilikiwa na mwamedi
Duh...amejiingiza kwenye ushabiki wa wanywa kahawa vijiweni?!?!
Simba sc msipojifunza kumpa thamani na heshima inauostahili mpinzani wenu, hakika kuna anguko kubwa linakuja kwenu na hamtaamini. Hakuna timu isiyofungwa duniani kote.
Antonio nugaz ameweka picha yenye jezi nambari 17 ya simba kisha ameandika 'wakati mwengine ni vema kuwa mkweli" asante eng asante GSM.Simba sc msipojifunza kumpa thamani na heshima inauostahili mpinzani wenu, hakika kuna anguko kubwa linakuja kwenu na hamtaamini. Hakuna timu isiyofungwa duniani kote.
Aweke 20b kwani Simba Sc ni benki?Yaani walisajili mbeba viatu?
Mikia akili yao wanaijua wenyewe. Usajili wao ukiacha Chama, ulikuwa wa kuikomoa Yanga. Hasa wakati Yanga ikiwa haina pesa. GSM game changer !
Sasa Mo aweke B20 kama anazo
Basi aendelee kuwanyeshwa Mo Energy. Gongo tupuAweke 20b kwani Simba Sc ni benki?
Mipasho ya mdosi Mwamedi.