Viongozi wa Simba wanatuona sisi wanachama wa Simba ni Mabwege ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ili kutusahaulisha na ile bil 20 iliyoahidiwa bila kuletwa na anayewapa hela ya kula, basi wanaamua tu kutuzuga na dhuluma za usajili kwa kuitegemea TFF ambayo imejaa wana simba.

Hivi baada ya Kumchukua Morisson Simba ilifaidika na nini? hamjifunzi tu? sasa huyu Tonombe Mukoko mwenye mkataba wa miaka miwili na Yanga ndio atawasaidia nini?

 
Bi haijawekwa ,tumetwaa ubigwa bi haijawekwa mtan kafa4 bi haijawekwa tumefika kumi na sita bora club bingwa ,atoke ili simba iwekama ndanda fc,,kilomon amekaa simba zaid ya miaka 20 simba imepata mafanikio gan?
 
Mleta mada hujui ukichokiandika, una wenge la kushiba ndio maana huna habari na njaa, ngoja huyo aliyekushibisha aondoke ndio utapata akili.

Unamuona Mukoko hafai kwasababu ya kazi aliyoifanya Mo, be careful. Japo habari ya Mukoko nadhani ni magazeti tu hutakiwi kuzipa nafasi kubwa kihivyo, kama ilivyo kwa Chama kwenda jangwani, ili wauze magazeti yao tu.
 
Mashabiki addictive wa kitu chochote huwani kama MABOLIZOZO.

Ndio kuna watu huwa wanawekeza sana kwenye addiction ili kuyapiga.

Mfano Mo hawezi kuwanunua mashabiki wote wa Simba au Yanga,cha kufanya unanunua Simba au Yanga tayari unakuwa umetia kwapani mabolizozo yote.
 
Hivi baada ya Kumchukua Morisson Simba ilifaidika na nini? hamjifunzi tu? sasa huyu Tonombe Mukoko mwenye mkataba wa miaka miwili na Yanga ndio atawasaidia nini?
Binafsi sijasikia kiongozi yeyote wa Simba akitamka kwamba Simba ina mpango au imemsajili Mukoko Tonombe. Pia mchango wa Morrison sio wa kupuuza, huwezi kumpima mchezaji kwa mechi sita. Hata hizo alizocheza hajaharibu kiasi cha kusemausajili ulikosewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…