Viongozi wa Simba wanatuona sisi wanachama wa Simba ni Mabwege ?

Viongozi wa Simba wanatuona sisi wanachama wa Simba ni Mabwege ?

Huyu jamaa kwa pumba hizi alikuwa anataka watu waipigie kura chadema. Sasa naelewa shida ipo wapi. Sasa mtapigwa kila sehemu....huku na kule. Hakuna rangi mtaacha kuona.
 
Ni uchaguzi tu 2020. Hakuna kingine
Mkuu hata aibu huna ? Magufuli kashinda kituo gani cha kura ? kura za Mahera zile mil 12 zilifahamika wiki 1 kabla ya uchaguzi , kama wewe hukupata taarifa hii basi utakuwa bwege sana !
 
Kama kila uchaguzi mtakuwa mnalalamika mmeibiwa basi nyie mabwege sana....we fikiria una mtoto kila siku akirudi toka shule anasema ameibiwa penseli au pen.si atakuwa bwege,zezeta,taahira?

Mkuu hata aibu huna ? Magufuli kashinda kituo gani cha kura ? kura za Mahera zile mil 12 zilifahamika wiki 1 kabla ya uchaguzi , kama wewe hukupata taarifa hii basi utakuwa bwege sana !
 
Hivi mchango wa familia ya Dewji pale Simba mnaichukulia poa siyo?

Labda niwakumbusheni...

Wakati Simba inafanikiwa kufika hatua ya fainali ya michuano ya CAF mwaka 1993,mfadhili alikuwa ni AZIM DEWJI. Kabla hajaingia Simba nadhani mlikuwa hamjawahi kucheza fainali tangu timu ianzishwe.

Wakati Simba inaingia makundi ya Champions League kwa kuitoa Zamalek ya Misri,mwaka 2003,mfadhili alikuwa ni MO DEWJI (kupitia MeTL). Ni miaka mingi sana ilikuwa imepita tangu mlipofikia hatua hii mara ya mwisho kabla MO hajazama kuifadhili Simba.

Ni MO DEWJI tena ndo alieiwezesha Simba kuvuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali,kwenye Champions League msimu wa 2018/2019.

Sasa sijui hao akina Hamis 'Mhogo mchungu' Kigwangala, Mzee Kilomini, na wenzao wa calibre yao sijui walikuwa wapi kuipa Simba mafanikio hayo?

Sasa nyie Simba jichanganyeni muone.
 
Wakati umefika sasa kocha awatumie na wachezaji wengine kama Nyoni, Kennedy, Ame na Gadiel Michal.
Center half wa timu ya taifa anapigwa benchi kali namna hiyo!!!!!!. Mbona kule Tunisia kacheza vizuri?
Na Simba watafute msaidizi wa Shomari Kapombe anajitoa sana na timu zote humuwinda yeye kumuumiza ili kupunguza mashambulizi yake.
Msaidizi wa Kapombe yupo ila huyu ni kocha wa kukariri
 
Simb htun viongozi professionals tuna wahuni wahuni akina Hns Pope na Kaduguda.
 
Back
Top Bottom