Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Huyu jamaa kwa pumba hizi alikuwa anataka watu waipigie kura chadema. Sasa naelewa shida ipo wapi. Sasa mtapigwa kila sehemu....huku na kule. Hakuna rangi mtaacha kuona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli , stress kwa kula za mabegi zilizolindwa na polisi !Hizi ni stress za uchaguzi. Sasa unahamishia kwenye mpira. 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Mkuu hata aibu huna ? Magufuli kashinda kituo gani cha kura ? kura za Mahera zile mil 12 zilifahamika wiki 1 kabla ya uchaguzi , kama wewe hukupata taarifa hii basi utakuwa bwege sana !Ni uchaguzi tu 2020. Hakuna kingine
Mkuu hata aibu huna ? Magufuli kashinda kituo gani cha kura ? kura za Mahera zile mil 12 zilifahamika wiki 1 kabla ya uchaguzi , kama wewe hukupata taarifa hii basi utakuwa bwege sana !
Msaidizi wa Kapombe yupo ila huyu ni kocha wa kukaririWakati umefika sasa kocha awatumie na wachezaji wengine kama Nyoni, Kennedy, Ame na Gadiel Michal.
Center half wa timu ya taifa anapigwa benchi kali namna hiyo!!!!!!. Mbona kule Tunisia kacheza vizuri?
Na Simba watafute msaidizi wa Shomari Kapombe anajitoa sana na timu zote humuwinda yeye kumuumiza ili kupunguza mashambulizi yake.