DOKEZO Viongozi wa umma na watumishi wageuza "Shamba la bibi" halmashauri ya Busega, kampuni zao zatumika

DOKEZO Viongozi wa umma na watumishi wageuza "Shamba la bibi" halmashauri ya Busega, kampuni zao zatumika

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Kasuku mgeni

New Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
3
Reaction score
4
Habari kutoka Busega Halmashauri ya Busega ya Mkoani Simiyu, imeelezwa kuwa, viongozi na Watumishi wa Serikali wapo kwenye orodha ya kuhujumu uchumi kufuatia kutoa tenda na kufanya minada pasipo kufuata taratibu za Serikali.

Ambapo uchunguzi umebaini kwamba Kuna kampuni mbili za viongozi wa juu Busega akiwemo Mhe. Mbunge na kiongozi mwingine wa juu kwenye maamuzi.

Inaelezwa kuwa, kampuni zao mbili zimepewa tenda mbalimbali katika Halmashauri ikiwemo ujenzi wa Chuo cha ufundi VETA.
 
Back
Top Bottom