Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
Kwangu mimi naona Augustino Lyatonga Mrema, Dr. Wilbroad Slaa, Maalim Seif na Tundu Antipas Lissu wamekuwa viongozi wenye ushawishi na mvuto katika siasa za upinzani Tanzania.
mbona hukumtaja Al Marhum Maalim SeifKwangu mimi naona Augustino Lyatonga Mrema, Dr. Wilbroad Slaa na Tundu Antipas Lissu wamekuwa viongozi wenye ushawishi na mvuto katika siasa za upinzani Tanzani.
Yes na Maalim Seif.mbona hukumtaja Al Marhum Maalim Seif
Mbowe ni kawa kiongozi mzuri ila hakuwa na mvuto na ushawishi kwa watu wengi.Kwamba mbowe hajawahi kuwa na mvuto wala ushawishi au?
Sijazaliwa 2000 lakini hata hivyo ndio kikazi chenye hatima kwa sasa nyie wezee pumzikeni.Utakuwa umezaliwa miaka ya 2000 wewe.
Kwa nini mkuuHii nchi watu wanahisi Mbowe hajawahi kuwa kiongozi kabisa
Wapi sasa?Kwamba mbowe hajawahi kuwa na mvuto wala ushawishi au?
Ayatollah Mbowe atakumbukwa kwa lipi sasa?Kwamba mbowe hajawahi kuwa na mvuto wala ushawishi au?
Kwa kuwatengeneza vijana kama kina zito,lisu,sugu,msigwa na wengineo mpaka kufanya wewe leo uwe na mahaba na chadema! Chadema ya leo ni maono ya mbowe iwe unataka iwe hutaki.kabla ya mbowe walikuwepo TLP na NCCR Kwa kufuatana.Ayatollah Mbowe atakumbukwa kwa lipi sasa?
Hayati Christopher Mtikila!!!mbona hukumtaja Al Marhum Maalim Seif