kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Amemkuta mwanamke kituoni, akalipa nauli ya anakoshuka ,nae akashuka, Akampigia boda boda, wakati anamsubiri kijana wa boda boda.
Akaja mtu akamgusa bega akasema upo chini ya ulinzi akatokea yule mwanamke akamfunga pingu, gari likaenda wakawa wanapumzika wakanunua chips. Wakamuweka kwenye mti wakamuuliza kwanini uchome vitenge.
Akawajibu Samia hakutekeleza maombi yetu, wakamtupa, akahisi hii ni barabara ya mjini akaifuata. Akafika kibanda cha chips akaanguka, akajikuta yupo mwanyamala hospital. John Rambo kafika mjini!
Stori ina mapungufu mengi sana ila twendeni itabainika swali je nani alijua dhamira ya safari ya john rambo!