kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hicho kituo anachosema alikuwa ni pako kipori pana msikiti wa waislamu wa siasa kali halafu sehemu hiyo polisi waliwahi uawa na magaidiAmemkuta mwanamke kituoni, akalipa nauli ya anakoshuka ,nae akashuka,
Yani kwwnye mada zako lazima neno msikiti, uislam au ugaidi lazima viwepo, una shida gani kensh?Hicho kituo anachosema alikuwa ni pako kipori pana msikiti wa waislamu wa siasa kali halafu sehemu hiyo polisi waliwahi uawa na magaidi
Sijui kilimpeleka nini pale mwanamke huyo wa kiislamu Huenda alikuwa kwenye huo msikiti akikutana na watu kupanga ugaidi
Amemkuta mwanamke kituoni, akalipa nauli ya anakoshuka ,nae akashuka, Akampigia boda boda, wakati anamsubiri kijana wa boda boda .
Akaja mtu akamgusa bega akasema upo chini ya ulinzi akatokea yule mwanamke akamfunga pingu ,gari likaenda wakawa wanapumzika wakanunua chips .wakamuweka kwenye mti wakamuuliza kwanini uchome vitenge .
Akawajibu samia hakutekeleza maombi yetu ,wakamtupa ,akahisi hii ni barabara ya mjini akaifuata. Akafika kibanda cha chips akaanguka ,akajikuta yupo mwanyamala hospital .John rambo kafika mjini!
Stori ina mapungufu mengi sana ila twendeni itabainika swali je nani alijua dhamira ya safari ya john rambo!
Huzungumzii mateso na kipigo alichopata, hujaona uvia wa damu mikononi mwake ,huulizii ripoti ya hospitali ila unaharisha ujinga stori Ina mapungufu.Amemkuta mwanamke kituoni, akalipa nauli ya anakoshuka ,nae akashuka, Akampigia boda boda, wakati anamsubiri kijana wa boda boda .
Akaja mtu akamgusa bega akasema upo chini ya ulinzi akatokea yule mwanamke akamfunga pingu ,gari likaenda wakawa wanapumzika wakanunua chips .wakamuweka kwenye mti wakamuuliza kwanini uchome vitenge .
Akawajibu samia hakutekeleza maombi yetu ,wakamtupa ,akahisi hii ni barabara ya mjini akaifuata. Akafika kibanda cha chips akaanguka ,akajikuta yupo mwanyamala hospital .John rambo kafika mjini!
Stori ina mapungufu mengi sana ila twendeni itabainika swali je nani alijua dhamira ya safari ya john rambo!
Mpumbavu mwingine,Hicho kituo anachosema alikuwa ni pako kipori pana msikiti wa waislamu wa siasa kali halafu sehemu hiyo polisi waliwahi uawa na magaidi
Sijui kilimpeleka nini pale mwanamke huyo wa kiislamu Huenda alikuwa kwenye huo msikiti akikutana na watu kupanga ugaidi
Ukitaka kufika kilele cha mafanikio lazima uvumilie maumivu!Huyo mtu ni aliyevilia damu hivi?
View attachment 3131275
Kama ndiye na kuwa bila shaka alijiteka, kumbe akili ya kisoda itakuwa ipi?
Kaanza huyo kesho atakuja mwingine na muendelezo wa stori!Huzungumzii mateso na kipigo alichopata, hujaona uvia wa damu mikononi mwake ,huulizii ripoti ya hospitali ila unaharisha ujinga stori Ina mapungufu.
Ndani ya fuvu lako hakuna ubongo bali kuna kitu kinachonuka.
Idiot
Ukitaka kufika kilele cha mafanikio lazima uvumilie maumivu!
Kandaa script yake na vijana wa red brigedi!Kwa hiyo tumekubaliana kuna sera rasmi za kijambazi zinaendelea?