Viongozi wa vijiji waliotoa taarifa za watu waliokufa kwa njaa, wakamatwa na polisi.

Likua sijajua kwamba wewe ni mjinga kiasi hicho, acha ujinga wewe, what is the difference between senator and MCA?, who has people on the ground?, peleka Ukabila wako huko usije ukatuambukiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanin hamtaki kukubali kwamba njaa imeua watu ona sas watu wataogopa kusema na wataendelea kufa, 'to look for food' wapi?
 
Tulipokea msaada wa $30,000, sisi tumetoa msaada wa $4M.Overall we are net donor.
Sent using Jamii Forums mobile app
What? Uko desparate sana jombaa, kuna tofauti kubwa sana kati ya kuomba madawati kwa Zuma na hizo nchi kupokea misaada wakati wa misiba au kiangazi. Ndio maana hutawasikia wakenya wakijipiga vifua eti kwasabu KDF ilifika Kagera kabla ya JWTZ baada ya lile tetemeko la ardhi. Au kwamba Kenya ilitoa msaada kwa wahanga Tz huku Jiwe akiibuka na kauli yake kwamba sio CCM ndio ilisababisha tetemeko na kwamba wahanga wafanye kazi. Maturity ni kitu cha muhimu sana. Alafu mbona hujapiga mahesabu ya bajeti yenu inavofadhiliwa kwa asilimia kubwa na msaada kutoka kwa wazungu?
 
Likua sijajua kwamba wewe ni mjinga kiasi hicho, acha ujinga wewe, what is the difference between senator and MCA?, who has people on the ground?, peleka Ukabila wako huko usije ukatuambukiza

Sent using Jamii Forums mobile app
we ndio mjinga...MCA anajua nini kinachoendelea katika county nzima...km kwake pamepatikana ni kwake....

alafu county leaders ni gavana...yule ndio muwakilishi wa county...si eti eti ward flani kuna njaa unatarajia gavana ataongea...mca ndio atawakilisha ward yake...sasa unajifanya ali kujuwa..eti wawakilishi wenu wa county walisema...bwahaaaa...umekamatwa basi
 
Huo ubepari uchwara wa Kenyatta is just a con game, jamaa ni dikteta analazimisha bidhaa zake zipate soko. Vipi kuhusu demand/ supply hapo haihusiki?
u dictator maana yake ni nn...tuanzie hapo
 
Nimekuambia acha ujuha wewe, what is the smallest political governing division huko kwenu?, it is ward ambayo kiongozi wake ni MCA, yeye ndiye the person responsible na watu wote katika hiyo ward, Senator au governor anapata taarifa zote muhumi toka kwa MCA, hakuna kitu ambacho Governor anajua kuhusu hiyo ward ambacho MCA hajui, Ila kuna vitu vingi tu ambavyo MCA anajua kuhusu hiyo ward lakini Governor hajui.

MCA ndiye mwenye watu, ndiye muwakili wa wananchi katika hiyo ward, yeye ndiye mtu wa kwanza kujua matatizo ya wananchi kabla ya Senator au Governor, acha ujuha wewe, Governor yupo mbali Sana na wananchi kama rais alivyombali na wananchi, anategemea wabunge wsmpelekee mahitaji ya watu toka jimboni kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Governor gets direct information from every village that forms a ward, every ward has got village administrator ,then ward administrator that report directly to the governor these are the people that are based in the village , they know everything that happens at the grassroots unlike MCAs ,some of them are based at the county headquarters they hardly visit their wards ,so I don't know what you are arguing here , maybe you could have said some leaders from the county reported deaths ,but when you say county leaders that narrows down to maybe three people ie governor, senator and county rep.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano mojawapo ni pale unapotumia nguvu ya dola kujitajirisha.
heheeeeee ..kumbe we ccm..nenda hta google basi itakusaidia...wivu utawauwa nynyi..

nauliza tena kw mara ya pili...nadhani mara ya kwanza ilkuwa umeshiba albino...u dictator ni nn?

byda do you know the meaning of (dictate)
 
naona umemuelewesha vizuri sasa...yeye hajui km MCAs pia hawaishi katika wards zao..kisha anakuja hapa kujipiga kifua km anaijuwa kenya..labda kijiweni..ila kiuhalisia hana ajualo...

eti mca ndio ako karibu na wananchi kuliko gavana...na wote huaga wako makao makuu ya county
 
heheeeeee ..kumbe we ccm..nenda hta google basi itakusaidia...wivu utawauwa nynyi..

nauliza tena kw mara ya pili...nadhani mara ya kwanza ilkuwa umeshiba albino...u dictator ni nn?

byda do you know the meaning of (dictate)
Hebu solve kwanza hiyo trig;
5sinx +12sinx = 13√2 /2
 
Nakwambia hawa jamaa wanakalia umbea pale sinza vijiweni , hawana jipya .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakwambia hawa jamaa wanakalia umbea pale sinza vijiweni , hawana jipya .

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa...hajui mara hoo kenya hakuna chakula...mara wakafungua tgread humu eti wao na uganda tuwasaidie wakenya...mwisho wa siku GOK ikawafunga midomo..na wala haitawai omba chakula kw ldc...bali tutanunua tu ili hyo hela iwasaidie...

wakenya si wanafiki...kukitokea janga tanzania serikali yetu hutoa ushrikiano hta km ni kw kiasi kidogo
 
Wewe acha kukimbia discussion, you said that county leaders are senator and Governor, you don't listen to MCA, after explaining to you that MCA is closer to citizens than Governor and Senator, now you are coming with a bunch of other leaders. Our discussion is MCA, Senator and Governor, who is closer to mwananchi than others?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…