Viongozi wa vijiji waliotoa taarifa za watu waliokufa kwa njaa, wakamatwa na polisi.

Viongozi wa vijiji waliotoa taarifa za watu waliokufa kwa njaa, wakamatwa na polisi.

Ninyi Kiswahili Ndio lugha yenu ya Taifa, lakini hata rais wenu akienda China ambako hata hawajui English, Bado anazungumza kiingereza, ninyi ni Bado Watumwa, Julius Malema Kiingereza ni lugha ya Taifa ya nchi yake, ni sawa akitumia English

Sent using Jamii Forums mobile app
RSA wana lugha nane za taifa, unakukariri vitu ambavyo huvielewi hata kidogo. Kiingereza kinawapa stress sana. Mahikimu wenu wanatoa hukumu zao kwa kiingereza chao kibovu, wabunge wenu huwa wanajadili sheria ambazo zimeandikwa kwa kiingereza. Mbaya zaidi ni kwamba wakifungua midomo yao huwa wanachapia kiswahili kibovu huku 'l' na 'r' wakiwa wamezichanganya hadi wanakera. Hamjielewi kabisa, mpo mpo tu na usanii wenu.
 
RSA wana lugha nane za taifa, unakukariri vitu ambavyo huvielewi hata kidogo. Kiingereza kinawapa stress sana. Mahikimu wenu wanatoa hukumu zao kwa kiingereza chao kibovu, wabunge wenu huwa wanajadili sheria ambazo zimeandikwa kwa kiingereza. Mbaya zaidi ni kwamba wakifungua midomo yao huwa wanachapia kiswahili kibovu huku 'l' na 'r' wakiwa wamezichanganya hadi wanakera. Hamjielewi kabisa, mpo mpo tu na usanii wenu.
Jinga Sana wewe, South Africa lugha kubwa inayounganisha nchi ni English, ila kuna lugha zingine ambazo pia zinatambuliwa kuwa ni lugha rasmi, universal National language ni English.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa! 😀 Uwe unatia bidii ya ku'google' kabla ya kukurupuka, sio baada ya kutupia pumba.
Nimekaa Cape Town miaka mawili, Kule Wanatumia English na Xosa, Jimbo la Kwazulu Natal, Wanatumia English na Zulu, vivyohivyo wazungu Wanatumia English na Africana. Wewe upo hapo Kibera hata Namanga hujafika unaleta ujuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekaa Cape Town miaka mawili, Kule Wanatumia English na Xosa, Jimbo la Kwazulu Natal, Wanatumia English na Zulu, vivyohivyo wazungu Wanatumia English na Africana. Wewe upo hapo Kibera hata Namanga hujafika unaleta ujuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza longo longo za kutafuta kiki sio? Unaringia watu kwamba umezuru bara la Afrika tu? Hujatia mguu wako nje ya bara hili, hapana, nje ya Tz, nakuhakikishia hilo, sio kwa hicho kiingereza na kiswahili chako kibovu cha Kariakoo. Nimekatiza kote kote bara hili hadi na nje, na kwa taarifa yako kule maeneo ya Namanga ndio kwetu kabisa.
 
Umeanza longo longo za kutafuta kiki sio? Unaringia watu kwamba umezuru bara la Afrika tu? Hujatia mguu wako nje ya bara hili nakuhakikishia, sio kwa hicho kiingereza na kiswahili chako kibovu cha Kariakoo. Nimekatiza kote kote bara hili hadi na nje, na kwa taarifa yako kule maeneo ya Namanga ndio kwetu kabisa.
😂😂😂😂

watz wanaabudu waafrika kusini sana.
 
Macron hutuba zake zote hutumia kifaransa hata akihutubia UN, kana hapo kwenu ametumia English, labda kwasababu alijua Kenya Bado ni koloni la waingereza Kwahiyo hakutaka kuwakwaza.

Tanzania primary school tunatumia Kiswahili, primary school ndiyo msingi wa kila kitu, wale watakaokwenda secondary(wakati huo walikua chini ya 10%) ndio walitumia English, sasa hivi tunabadilisha hata sekondari Watatumia Kiswahili, Sisi ni taifa huru sio kama Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
jiwe yeye UN hutumia lugha gani...heheee...unaumwa vile macron kaongea kingereza tena kisafi...sasa sijui akija tanzania wataelewana vp na mkulu
 
Hahahaha, ili mtu asemekane Amekufa kwa njaa unataka uone dalili Ipi? ndugu na jamaa wa hao waliokufa, na hao machiefs wamepata misiba mingi tu na wanajua vizuri sana sababu za vifo vya wapendwa wao kuliko ninyi mliopo Nairobi.

Hivi ukiambiwa mtu hajapata chakula kwa Wiki nzima na tayari Allikua akilalamika njaa hadi anapoteza maisha, unasema Amekufa kwa malaria?, kwenye kupambana na uhalifu mnawataka wananchi na chiefs wawasaidie kwasababu mnasema wao wanawajua vizuri wahalifu kuliko polisi, ktk vifo vya wapendwa wao mnasema hawajui wanadanganya, ninyi kweli ni failed state.

Nimeweka clip nyingi tu zinazoonyesha viongozi mbalimbali wa counties wakithibitisha vifo vilivyosababishwa na njaa katika counties zao, stop that denial.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi wa county ni Nani? Hebu nitajie mmoja aliesema kuna vifo Kwa sababu ya njaa? Huyo chief alikua amelewa so he was in his capacity when he said that there are deaths due to hunger.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na watanzania pia tunajuwa hawashobokei kingereza...ila wanatamani sana kukijua...jibu swali..walitumia lugha gani...manake wote hawashobokei kingereza...

au waliongea kibubu...bwahaaaa
Nakwambia ni shida tupu,Nina rafiki wa kitanzania ambaye ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha dar-esSalaam anasomea sheria lakini akizungumza unavumilia tu kumsikiza ila ametia bidii Sana akijue vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wajue kijerumani wapi...kw akli zipi...ubongo wao unawaza uswazi tu na historia wala si mambo yanayoendelea duniani...sasa mkulu hajui kingereza ndio manake anakwepa mikutano na kwenda nje...lugha ni balaaa...
ze..ze..ze
Hahahaha ,kuwa tayari kupimwa tezi dume na makonda Kwa huu ukweli mkulu atakukujia mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana waS.A huwa wanawaita makwerekwere. Wanaingia nchi za wenyewe bila formular, sio kuenda kusoma wala kufanya biashara bali ni kuomba omba, kuchafua miji na kuwa vijakazi wa nyumba.

Teh teh teh tihiii
Hivi unajua ni kina nani waliombiwa ili waingie huko na UARABUNI lazima wawe na degree?
Na wajua kwa nini waliambiwa hivyo?
 
Teh teh teh tihiii
Hivi unajua ni kina nani waliombiwa ili waingie huko na UARABUNI lazima wawe na degree?
Na wajua kwa nini waliambiwa hivyo?
Teh teh tihii tihii, ghafla 'wakombozi bonoko' wamegeuka wakawa makwerekwere. [emoji1]
 
Back
Top Bottom