Viongozi wa vijiji waliotoa taarifa za watu waliokufa kwa njaa, wakamatwa na polisi.

Wakenya wengi kama kawaida yao wamekua wakihisifu kwamba Kenya kuna Uhuru wa kujiekeza, kwamba watu wapo huru kutoa taarifa zozote.

Serikali ya Kenya imewakamata na kuwaweka ndani viongozi wote wa vijiji waliotoa taarifa ya watu waliokufa kutokana na njaa kwa madai kwamba wametoa habari za uongo za kuliaibisha Taifa la Kenya, hadi sasa serikali ya kitaifa inapinga kuwepo kwa vifo vilivyosababishwa na njaa, wakati serikali za majimbo zinathibitisha kutokea kwa vifo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wataficha taarifa za vifo lakini hawataficha makaburi
 
Wakenya wengi kama kawaida yao wamekua wakihisifu kwamba Kenya kuna Uhuru wa kujiekeza, kwamba watu wapo huru kutoa taarifa zozote.

Serikali ya Kenya imewakamata na kuwaweka ndani viongozi wote wa vijiji waliotoa taarifa ya watu waliokufa kutokana na njaa kwa madai kwamba wametoa habari za uongo za kuliaibisha Taifa la Kenya, hadi sasa serikali ya kitaifa inapinga kuwepo kwa vifo vilivyosababishwa na njaa, wakati serikali za majimbo zinathibitisha kutokea kwa vifo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii ndiyo maana huku kwetu pia wameogopa kutoa hizo taaharifa kuwa kuna njaa, ikasababisha serikali kupeleka chakula kwa wenzetu?
NOTE: sikakathi kusaidiwa kwa wahitaji
 
Wakenya wengi kama kawaida yao wamekua wakihisifu kwamba Kenya kuna Uhuru wa kujiekeza, kwamba watu wapo huru kutoa taarifa zozote.

Serikali ya Kenya imewakamata na kuwaweka ndani viongozi wote wa vijiji waliotoa taarifa ya watu waliokufa kutokana na njaa kwa madai kwamba wametoa habari za uongo za kuliaibisha Taifa la Kenya, hadi sasa serikali ya kitaifa inapinga kuwepo kwa vifo vilivyosababishwa na njaa, wakati serikali za majimbo zinathibitisha kutokea kwa vifo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndo walewale hatutaki sare za ccm kwenye mwenge wa uhuru baadaye kakanusha.Hii ndo African countries
 
Kenya hakuna uhuru wowote ule. Kuna sheria mpya wametungiwa, wauza maziwa wamekatazwa kuuza maziwa locally, sijui mpaka yachunguzwe, wasajiliwe, blah blah mob, nadhani ni ili kunufaisha brookside.

Sent using Jamii Forums mobile app
maeneo gani hayo bro...hebu nijuze...jamani watanzania mnaijua kenya vizuri
 
Oii wapi huko maziwa yanachunguzwa na wapi link ya ukurupukaji wako?
 
It's true they might have died from other causes but not hunger, for instance I saw in one of the news bulletin that an 80yrs old died when he had gone to look for food while there were a lot of healthy goats in his home,his grandchildren were very healthy too, how on earth an 80yrs goes out to look for food and yet they are goats in the homestead? I agree with the government, they are not dying because of hunger but other ailments causing their deaths.

Sent using Jamii Forums mobile app
wanawazimu hao jamaa...kuchinja ng'ombe kwao ni mwiko...alafu hawa watu wa redcross wananishangaza...wanasema county kumi na saba zimekubwa na njaa na watu wanateseka..sasa hao watu millioni moja siwaoni...wanakomaa na watu kama kumi hv kw news kils siku ...

wao waseme tu drought tu..lkn wakitaja njaa katika hzo county zengine ni pesa wanatafuta wapige...imagine eti tana river,kilifi,kwale,taita....kwote hko watu ni wakulima naaimani na baadhi ya familia hawakosi chakula kw ghala zao...
juzi nilicheki news ya garseni eti watu wana njaa...
wasomali na mitungi wameipakia kw punda wanaelekea kutafuta maji...tena place yenyewe ni msituni...alafu mmoja kapewa mic anaongea eti "mtoto wangu hajakula kutoka asubuhi"iliniuma sana lkn kilichonishangaza mtoto alikuwa kambeba ubavuni anacheza na mic...yani nilicheka sana...mtoto ana siku nzima hajala lkn anacheza na mic tena kako healthy ajabu
 
Wakenya wengi kama kawaida yao wamekua wakihisifu kwamba Kenya kuna Uhuru wa kujiekeza, kwamba watu wapo huru kutoa taarifa zozote.

Serikali ya Kenya imewakamata na kuwaweka ndani viongozi wote wa vijiji waliotoa taarifa ya watu waliokufa kutokana na njaa kwa madai kwamba wametoa habari za uongo za kuliaibisha Taifa la Kenya, hadi sasa serikali ya kitaifa inapinga kuwepo kwa vifo vilivyosababishwa na njaa, wakati serikali za majimbo zinathibitisha kutokea kwa vifo.

Sent using Jamii Forums mobile app

hv nikuulize ..unaposema serikali ya kitaifa na kumtaja ruto...kwn ruto ndio serikali...km hko kwenu magu ndio serikali jiandaeni kisaikolojia
 
redeemer walitumia lugha gani kuzungumwa kwa simu au ni kutafuta kiki tu afu natumai wala kinyesi watafaidika 😀
Castr hujaisikia ama kuisoma hiyo ya viwanda vya cherehani? hebu ingia jukwaa la siasa uone vile tanzania inateketea.
wewe ni kilaza,kwa dunia ya leo hii unazungumzia lugha?...
 
wanawazimu hao jamaa...kuchinja ng'ombe kwao ni mwiko...alafu hawa watu wa redcross wananishangaza...wanasema county kumi na saba zimekubwa na njaa na watu wanateseka..sasa hao watu millioni moja siwaoni...wanakomaa na watu kama kumi hv kw news kils siku ...

wao waseme tu drought tu..lkn wakitaja njaa katika hzo county zengine ni pesa wanatafuta wapige...imagine eti tana river,kilifi,kwale,taita....kwote hko watu ni wakulima naaimani na baadhi ya familia hawakosi chakula kw ghala zao...
juzi nilicheki news ya garseni eti watu wana njaa...
wasomali na mitungi wameipakia kw punda wanaelekea kutafuta maji...tena place yenyewe ni msituni...alafu mmoja kapewa mic anaongea eti "mtoto wangu hajakula kutoka asubuhi"iliniuma sana lkn kilichonishangaza mtoto alikuwa kambeba ubavuni anacheza na mic...yani nilicheka sana...mtoto ana siku nzima hajala lkn anacheza na mic tena kako healthy ajabu
Rutto ndiye aliyetaja idadi kwamba ni watu 1.1M, acha kujifanya chizi. Tatizo kubwa ninyi Wakenya mlilonalo linalowasababishia nchi nyingi ziwachukie hapa Africa ni kujifanya mnajua kila kitu, ona sasa jinsi unavyoikosoa Red Cross ambao wao Ndio kazi yao waliyosomea, wao wapo huko field kila siku, leo Wewe hapo Kibera hujawahi kufika hata Jogoo road, unawakosoa na kuonyesha hawajui lolote Ila Wewe ndiye uliyejua kila kitu, bure kabisa Wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hv nikuulize ..unaposema serikali ya kitaifa na kumtaja ruto...kwn ruto ndio serikali...km hko kwenu magu ndio serikali jiandaeni kisaikolojia
Acha ujinga wewe, kama serikali ya county Inaendeshwa na Governor, na kauli yake ndiyo kauli rasmi ya County, sasa serikali ya kitaifa kiongozi wake ni nani?, Punguza ujuha wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
80yrs old went to LOOK FOR food? Not BUY food?

80yrs old went to LOOK FOR food while his HEALTHY children and CATTLES are at home.

Hii ni kali sana.
Yeah,that is why I can't agree with those local chiefs, deaths have been reported, but you can't really link them to the drought situation in the country for instance if you went around Kenya today you will find many burials happen but we can't just say because there's a burial or a funeral somewhere then it's a hunger caused death ,that wouldn't be true.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, wakati county government zimekiri kutokea vifo katika vijiji vyao, who knows better on what is happening on the ground between counties and Central Governments?. Who is suppose to decide which is false and which is correct information?. There is no freedom in Kenya, hopefully they will not kill them like Jacob Juma, Chris Msando, and many others

Sent using Jamii Forums mobile app
Which county government? for your information no county government has reported any death,and people are dying everywhere even if you go around Tanzania today you will most likely come across funerals , but you can't say because there is a burial somewhere it's a hunger caused.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawazimu hao jamaa...kuchinja ng'ombe kwao ni mwiko...alafu hawa watu wa redcross wananishangaza...wanasema county kumi na saba zimekubwa na njaa na watu wanateseka..sasa hao watu millioni moja siwaoni...wanakomaa na watu kama kumi hv kw news kils siku ...

wao waseme tu drought tu..lkn wakitaja njaa katika hzo county zengine ni pesa wanatafuta wapige...imagine eti tana river,kilifi,kwale,taita....kwote hko watu ni wakulima naaimani na baadhi ya familia hawakosi chakula kw ghala zao...
juzi nilicheki news ya garseni eti watu wana njaa...
wasomali na mitungi wameipakia kw punda wanaelekea kutafuta maji...tena place yenyewe ni msituni...alafu mmoja kapewa mic anaongea eti "mtoto wangu hajakula kutoka asubuhi"iliniuma sana lkn kilichonishangaza mtoto alikuwa kambeba ubavuni anacheza na mic...yani nilicheka sana...mtoto ana siku nzima hajala lkn anacheza na mic tena kako healthy ajabu
Nakwambia mambo mengine yanashangaza, juzi waiguru kasema kuna njaa kirinyaga mwea eti wapewe msaada , of all the places mwea surely?afu huyu Abas guleti asituzoee hizo hela anatamani za nini? Kama serkali umesema kuna chakula cha kutosha, mbona yeye aje na playbill number?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rutto ndiye aliyetaja idadi kwamba ni watu 1.1M, acha kujifanya chizi. Tatizo kubwa ninyi Wakenya mlilonalo linalowasababishia nchi nyingi ziwachukie hapa Africa ni kujifanya mnajua kila kitu, ona sasa jinsi unavyoikosoa Red Cross ambao wao Ndio kazi yao waliyosomea, wao wapo huko field kila siku, leo Wewe hapo Kibera hujawahi kufika hata Jogoo road, unawakosoa na kuonyesha hawajui lolote Ila Wewe ndiye uliyejua kila kitu, bure kabisa Wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchangudoa hapa jfm ,we pimbi vipi?Hata nchi zote zituchukie tunaona poa mradhi yetu yanatwendea sawa Tu kwani kutupenda kwenu kutatufaidhi vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga wewe, kama serikali ya county Inaendeshwa na Governor, na kauli yake ndiyo kauli rasmi ya County, sasa serikali ya kitaifa kiongozi wake ni nani?, Punguza ujuha wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
kwhyo serikali kuu ni ruto?hahaaaa...jamaa njoni mcheki movie hku....ujue wakenya hawaburu..

kwanza unajuwa maana ya serikali?
 
Nakwambia mambo mengine yanashangaza, juzi waiguru kasema kuna njaa kirinyaga mwea eti wapewe msaada , of all the places mwea surely?afu huyu Abas guleti asituzoee hizo hela anatamani za nini? Kama serkali umesema kuna chakula cha kutosha, mbona yeye aje na playbill number?.

Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa wameshaona mahali kupiga hela...naona mheshimiwa ruto imemuuma walai..hta km watu wamekufa kwel...ila ile point yake ya exageration nimeikubali...jizee la 80 years linaweza njaa kwel...si anakufa tu hta km yupo mjini...kinachonishngaza sana sana hutupia picha za wazee wasiojiweza...

imagine..km ile picha mtoto kaeka mkono mamake anampa maji machafu hku katega mkono anywe...nashuku sana huyo mwanahabaria aliyepiga picha ndio kawaamuru wafanya vile ndio apate picha kali
 
Back
Top Bottom