Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Na Kampuni ya Ulinzi.
😄😄😄Na Kampuni ya Ulinzi.
Sawa Mwananchi kwa maelekezo!
Basi jilindeni msije kuchachwa!
Weka ushahidiTra msibadili msimamo wenu Kuna wafanyabiashara wengi sana wazawa na wageni wanamiliki store tu na kuuzia maduka ya jumla ya hapo hapo kariakoo wanapita tu na vijana wao kuchukua oda kwenye maduka na wengine wanauzia store.
Kuna watu mmewagusa Tena wakubwa sana Sasa nao wamewashawishi wengine kupigania maslai yao bila wafanyabiashara wengine kujua hilo.
Naomba kukiri wazi kwamba mimi ni miongoni mwa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliogoma kufungua maduka yao (sababu zimeelezwa)
Ninaandika kwa ufupi sana kwamba Naomba sana kamati ya Wafanyabiashara hao kuhakikisha viongozi wao na wasemaji wao wanalindwa kwa udi na uvumba (nadhani naeleweka).
Hakikisheni kwamba hao viongozi wenu hawalali majumbani mwao na wawe pamoja muda wote wa mgomo huu , serikali ya ccm inaposhindwa hoja huwa iko tayari kufanya lolote ili kutisha wengine.
Naomba Jambo hili lichukuliwe kwa uzito mkubwa sana.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Karibu sanaKwa Mara ya kwanza naweka like kwenye bandiko lako.
Usifinye finye maneno sema wanauaNaomba kukiri wazi kwamba mimi ni miongoni mwa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliogoma kufungua maduka yao (sababu zimeelezwa)
Ninaandika kwa ufupi sana kwamba Naomba sana kamati ya Wafanyabiashara hao kuhakikisha viongozi wao na wasemaji wao wanalindwa kwa udi na uvumba (nadhani naeleweka).
Hakikisheni kwamba hao viongozi wenu hawalali majumbani mwao na wawe pamoja muda wote wa mgomo huu , serikali ya ccm inaposhindwa hoja huwa iko tayari kufanya lolote ili kutisha wengine.
Naomba Jambo hili lichukuliwe kwa uzito mkubwa sana.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Dr.Ulimboka yupo wap siku hzNaomba kukiri wazi kwamba mimi ni miongoni mwa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliogoma kufungua maduka yao (sababu zimeelezwa)