Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mizimu ya jiwe
Sasa unalia nini ?Miuzushi mingine nayo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji18]
Sijui nishike lipi....Mfanya Biashara, WafanyaBiashara, Wanaharakati, CHADEMA,???
aaah Aisee hii Demokrasia ya "Private Sector" itatufikisha pabaya.
Kwanza wamekiri kutoa Rushwa, pili wamedai mgomo ni kwa sababu za Usajili wa Store na sio sababu zingine zezote zile za kisiasa, najiuliza Uwoga wanini? ati hakuna Siasa....
CHADEMA nani anayetumiwa au anayetumika? Hivi tunaweza kuwa tunaona vita za Wafanyabiashara wa Chadema vs Wafanyabiashara wa CCM? mmmmm
Washaanza kutengeneza mazingira tena! This is Dangerous.
Kweli tusisahau yaliyomkuta Dr. Ulimboka.Naomba kukiri wazi kwamba mimi ni miongoni mwa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliogoma kufungua maduka yao (sababu zimeelezwa)
Ninaandika kwa ufupi sana kwamba Naomba sana kamati ya Wafanyabiashara hao kuhakikisha viongozi wao na wasemaji wao wanalindwa kwa udi na uvumba (nadhani naeleweka).
Hakikisheni kwamba hao viongozi wenu hawalali majumbani mwao na wawe pamoja muda wote wa mgomo huu , serikali ya ccm inaposhindwa hoja huwa iko tayari kufanya lolote ili kutisha wengine.
Naomba Jambo hili lichukuliwe kwa uzito mkubwa sana.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Jiheshimu wewe mbwigaKwani Mboe kaacha kuridhiana?
Mimi nimefungua mbona, hii ni demokrasia unataka fungua hutaki kalaleKinachowasaidia hao wa Kariakoo,ni kuwapa tahadhari wale watakaothubutu kufungua,bila kufanya hivyo,wasingefanikisha.Kutokuwepo umoja,ndiyo tatizo la migomo mingi kutofanikiwa.Umoja wa lazims,ni muhimu,wasingepiga mkwara huo,hakyanani wengine wangefungua.
Tuchukue kwanza tahadhariUle ushenzi wa kutishana haupo
Nalia au nakucheka. Unajiondoa ufahamu, tu kwasababu nimeandika Ukweli kuhusu jitohada zenu hasi.....Yaani mnataka kuwaondoa Wamachinga na sababu za kuungaunga, na wakati huo huo mimate Inawatoka na mapato ya Serikali kupitia TRA sasa mmeanza kampeni za kujitwaa taasisi za Kiserikali kwa kuwatumia Wamachinga nchini wakati mnataka kuja kuwakandamiza. Shame on you.
[emoji38][emoji38][emoji38]Nalia au nakucheka. Unajiondoa ufahamu, tu kwasababu nimeandika Ukweli kuhusu jitohada zenu hasi.....Yaani mnataka kuwaondoa Wamachinga na sababu za kuungaunga, na wakati huo huo mimate Inawatoka na mapato ya Serikali kupitia TRA sasa mmeanza kampeni za kujitwaa taasisi za Kiserikali kwa kuwatumia Wamachinga nchini wakati mnataka kuja kuwakandamiza. Shame on you.
Mnamatatizo sana nyie Watu.
Wewe utakuwa umelogwaNdio Muelewe yale ya Lema:
'yaani kama kuna kitu chawa mnataka(akimaanisha vyombo vya dola)ni twende kwenye confrontation ili hii hali izuiiiwe..." [hata hii ya Kariakoo]
"na huo mpango tutaupanga hadharani"
"mtawasikia kesho" .
that line is a true Denial of the antecedent,.
Ati hatakuja kuwatukana Raisi au Waziri Mkuu. Sasa Waziri mkuu katokea. wee patamu hapo
Kitendo cha wanaharakati wa chadema kutumia wafanyabiashara kuchuma mtaji wa kufanyia siasa itatuletea vurugu, wanataka iwe hivyo ili waje kusema mnafunika uhuru, kumbuka kipeperushi chao kilichosema "Uhuru wa Biashara" Manake ndicho walichokuwa wakikitafuta Kariakoo. "Confrontation" ambayo hawakukipata. Heko Majaliwa, Heko CCM kwa manouvre nzuri kuwaepuka hawa maharamia na vibaraka wa mabeberu.
Chagueni kwa umakini mkubwa 2025
Msiwape Chadema dola, watatumaliza.
Wewe utakuwa umelogwa
Sent from my SM-J500H
Sikushangai kwa hayo kwasababu unaiona Tanzania na Afrika negatively.
Hivi unafikiri kati yangu ninayoyasema ya Lema ambayo ni ya Kweli kuwa ndiyo aliyoyasema na wewe Unayekuja na Kuzushia Familia ya Waliofiwa kwamba wamepewa rushwa kupotosha Ukweli! Isitoshe umedai hayo kana kwamba Rushwa sio mbaya ila mbaya zaidi ni Kwamba wazazi waliofiwa Kuwa ni Masikini...yaani hawakustahili hata kupata hiyo Rushwa! hata kama ikiwa ni pouwa
.u know..Europeans collectively acknowledge that Anathema was and will Devour them if they continue their hatred, ways and means and all vulgarities towards Black people. Apparently you never got the memo. Suprised??
Haijalishi, Misogynist , Bigoted, Racist and all those with imperialistic tendencies have always used the same Phrases and Vocabulary that Include "Umelogwa"
Unajiumiza bure kuwa unafikiri wewe ndie utakuja na 'Salvation'
Mkuu Chunga kinywa chako na ukome na kulegea kwa matusi yako mwenyewe.
Wewe kwsnza ondoa hilo jina la uongoMkuu unashindana na Nyumbu ( nyambizi)
Doh pole kaka watu wengine wapuuze wajione walivyo ndondocha!