Viongozi wa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliofanikisha Mgomo Walindwe usiku na mchana

Miuzushi mingine nayo.
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Œ
Sijui nishike lipi....Mfanya Biashara, WafanyaBiashara, Wanaharakati, CHADEMA,???

aaah Aisee hii Demokrasia ya "Private Sector" itatufikisha pabaya.

Kwanza wamekiri kutoa Rushwa, pili wamedai mgomo ni kwa sababu za Usajili wa Store na sio sababu zingine zezote zile za kisiasa, najiuliza Uwoga wanini? ati hakuna Siasa....

CHADEMA nani anayetumiwa au anayetumika? Hivi tunaweza kuwa tunaona vita za Wafanyabiashara wa Chadema vs Wafanyabiashara wa CCM? mmmmm

Washaanza kutengeneza mazingira tena! This is Dangerous.
 
Sasa unalia nini ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Kweli tusisahau yaliyomkuta Dr. Ulimboka.
 
Mimi nimefungua mbona, hii ni demokrasia unataka fungua hutaki kalale
 
Sasa unalia nini ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Nalia au nakucheka. Unajiondoa ufahamu, tu kwasababu nimeandika Ukweli kuhusu jitohada zenu hasi.....Yaani mnataka kuwaondoa Wamachinga na sababu za kuungaunga, na wakati huo huo mimate Inawatoka na mapato ya Serikali kupitia TRA sasa mmeanza kampeni za kujitwaa taasisi za Kiserikali kwa kuwatumia Wamachinga nchini wakati mnataka kuja kuwakandamiza. Shame on you.

Mnamatatizo sana nyie Watu.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ndio Muelewe yale ya Lema:

'yaani kama kuna kitu chawa mnataka(akimaanisha vyombo vya dola)ni twende kwenye confrontation ili hii hali izuiiiwe..." [hata hii ya Kariakoo]
"na huo mpango tutaupanga hadharani"
"mtawasikia kesho" .

that line is a true Denial of the antecedent,.

Ati hatakuja kuwatukana Raisi au Waziri Mkuu. Sasa Waziri mkuu katokea. wee patamu hapo

Kitendo cha wanaharakati wa chadema kutumia wafanyabiashara kuchuma mtaji wa kufanyia siasa itatuletea vurugu, wanataka iwe hivyo ili waje kusema mnafunika uhuru, kumbuka kipeperushi chao kilichosema "Uhuru wa Biashara" Manake ndicho walichokuwa wakikitafuta Kariakoo. "Confrontation" ambayo hawakukipata. Heko Majaliwa, Heko CCM kwa manouvre nzuri kuwaepuka hawa maharamia na vibaraka wa mabeberu.

Chagueni kwa umakini mkubwa 2025
Msiwape Chadema dola, watatumaliza.
 
Wewe utakuwa umelogwa

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Wewe utakuwa umelogwa

Sent from my SM-J500H

Sikushangai kwa hayo kwasababu unaiona Tanzania na Afrika negatively.
Hivi unafikiri kati yangu ninayoyasema ya Lema ambayo ni ya Kweli kuwa ndiyo aliyoyasema na wewe Unayekuja na Kuzushia Familia ya Waliofiwa kwamba wamepewa rushwa kupotosha Ukweli! Isitoshe umedai hayo kana kwamba Rushwa sio mbaya ila mbaya zaidi ni Kwamba wazazi waliofiwa Kuwa ni Masikini...yaani hawakustahili hata kupata hiyo Rushwa! hata kama ikiwa ni pouwa

.u know..Europeans collectively acknowledge that Anathema was and will Devour them if they continue their hatred, ways and means and all vulgarities towards Black people. Apparently you never got the memo. Suprised??

Haijalishi, Misogynist , Bigoted, Racist and all those with imperialistic tendencies have always used the same Phrases and Vocabulary that Include "Umelogwa"

Unajiumiza bure kuwa unafikiri wewe ndie utakuja na 'Salvation'

Mkuu Chunga kinywa chako na ukome na kulegea kwa matusi yako mwenyewe.
 

Mkuu unashindana na Nyumbu ( nyambizi)


Doh pole kaka watu wengine wapuuze wajione walivyo ndondocha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…