Viongozi wa Wekundu wa Msimbazi wanatucheza sana shere sisi wanachama na mashabiki

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kwanza wamekuwa waongo waongo sana, hawaaminiki hata kidogo, kufitiniana kumekuwa kwingi sana, weledi ni mdogo sana katika uendeshaji wa timu, Jaribu Tena amejiuzulu uenyekiti na kubakia ujumbe wa bodi lkn ukweli ni kuwa mwenyekiti wa bodi bw Mo asipokuwepo majukumu ya uenyekiti anamuachia Jaribu Tena, yaan Jaribu Tena nje anaonekana sio mwenyekiti lkn kwenye vikao ndio mwenyekiti, fuatilieni mihutsari ya vikao mtaona.

Mnawadanganya wajinga wajinga kuwa mnataka kumsajili Feitoto ili wati wasahau machungu ya Chama.

Mnawadanganya watu kuwa Chama amekwisha, hana spidi, guys, Chama ni habari nyingine.

Mnadanganya watu kuwa Chama ni msaliti, ushahidi kuwa aliihujumu Simba lini, mechi gani na nini alipewa hadi akahujumu? Mashabiki mnaimbishwa tu kuwa chama msaliti, chama mhujumu lkn ushahidi kuwa alihujumu haupo.

Mliposikia Chama kasaini Yanga mkaanza kumbembeleza kwa kutaka kuwarudishia yanga hela lkn mkawa mmechelewa.

Halafu mna mawasiliano na viongozi wa yanga chini kwa chini huku sisi mkituaminisha kuwa sio kweli.

Mmeishusha brand ya Simba vibaya sana, cjui msimu ujao mtawaambia nini mashabiki na wanachama maana kiukweli timu hatuna.

Chama anakwenda kuwa msaada mkubwa kwa Yanga, suala kuwa Chama amepunguza uwezo ni utoto na ulaghai.

Unawezaje kumpa silaha adui wako?

Kiufupi Chama amepelekwa Yanga na watu wakubwa ndani ya Wekundu wa Msimbazi.

Mmewasononesha sana mashabiki na wanachama wenu kwa kumuachia Chama ajiunge Yanga.

Narudia hata kama mtapuuza, hii timu iko katika mioyo yetu, mliopewa dhamana ya kuongoza kaeni mkijua kuwa mmetuumiza sana kumuachia Chama aende Yanga.

Wapo watu hawajafungua mitandao ya kijamii tangu jana walipomuona triple C akisaini Yanga.

Wapo watu hata makazini hawawajibiki vzr baada ya kusikia Yanga wamemsajili Chama.

Joshua Mutale mliyemsaini kutoka Power Dynamo ni mzuri lkn mna uhakika kwa mazingira yetu atakuja ku click?

Azam wamesajili vzr sana msimu ujao, Singida Black Stars wamesajili vzr mno, Coastal Union hivyo hivyo, Yanga ndio balaa kubwa kabisa.

Mtaendelea kudondosha pointi mikoani wakati Yanga wataendelea kuwapasua tu hao, nyie endeleeni na akina Mzamiru, cjui Jobe.

Ila yote heri tu, hili ni fundisho kwa wanachama na mashabiki hoya hoya wanaopewa vijisenti kwenda kuchagua akina chifu Mangungo wa Msovero.

Balaa litaonekana ngao ya hisani, safari hii cjui kama hatukufungwa 6.
 
Viongozi wa Wekundu wa Msimbazi wanatucheza sana shere sisi wanachama na mashabiki
Mnawadanganya wajinga wajinga kuwa mnataka kumsajili Feitoto ili wati wasahau machungu ya Chama.
Mnawadanganya watu kuwa Chama amekwisha, hana spidi, guys, Chama ni habari nyingine.
Mnadanganya watu kuwa Chama ni msaliti, ushahidi kuwa aliihujumu Simba lini, mechi gani na nini alipewa hadi akahujumu?
Ili tuwatendee haki viongozi, naomba utoe majibu haya:
  1. Kiongozi aliyesema Simba inataka kumsajili Feitoto anaitwa nani?
  2. Kiongozi aliyesema Chama ameisha na hana spidi anaitwa nani?
  3. Kiongozi aliyesema Chama ni msaliti anaitwa nani?

Nikipata walau jina moja kwa kila swali nitaona hoja yako ina msingi, otherwise ni matatizo yako binafsi/familia unataka kuyapoozea kwenye mchezo wa soka
 
Kwanza wamekuwa waongo waongo sana, hawaaminiki hata kidogo, kufitiniana kumekuwa kwingi sana, weledi ni mdogo sana katika uendeshaji wa timu, Jaribu Tena amejiuzulu uenyekiti na kubakia ujumbe wa bodi lkn ukweli ni kuwa mwenyekiti wa bodi bw Mo asipokuwepo majukumu ya uenyekiti anamuachia Jaribu Tena, yaan Jaribu Tena nje anaonekana sio mwenyekiti lkn kwenye vikao ndio mwenyekiti, fuatilieni mihutsari ya vikao mtaona.

Mnawadanganya wajinga wajinga kuwa mnataka kumsajili Feitoto ili wati wasahau machungu ya Chama.

Mnawadanganya watu kuwa Chama amekwisha, hana spidi, guys, Chama ni habari nyingine.

Mnadanganya watu kuwa Chama ni msaliti, ushahidi kuwa aliihujumu Simba lini, mechi gani na nini alipewa hadi akahujumu? Mashabiki mnaimbishwa tu kuwa chama msaliti, chama mhujumu lkn ushahidi kuwa alihujumu haupo.

Mliposikia Chama kasaini Yanga mkaanza kumbembeleza kwa kutaka kuwarudishia yanga hela lkn mkawa mmechelewa.

Halafu mna mawasiliano na viongozi wa yanga chini kwa chini huku sisi mkituaminisha kuwa sio kweli.

Mmeishusha brand ya Simba vibaya sana, cjui msimu ujao mtawaambia nini mashabiki na wanachama maana kiukweli timu hatuna.

Chama anakwenda kuwa msaada mkubwa kwa Yanga, suala kuwa Chama amepunguza uwezo ni utoto na ulaghai.

Unawezaje kumpa silaha adui wako?

Kiufupi Chama amepelekwa Yanga na watu wakubwa ndani ya Wekundu wa Msimbazi.

Mmewasononesha sana mashabiki na wanachama wenu kwa kumuachia Chama ajiunge Yanga.

Narudia hata kama mtapuuza, hii timu iko katika mioyo yetu, mliopewa dhamana ya kuongoza kaeni mkijua kuwa mmetuumiza sana kumuachia Chama aende Yanga.

Wapo watu hawajafungua mitandao ya kijamii tangu jana walipomuona triple C akisaini Yanga.

Wapo watu hata makazini hawawajibiki vzr baada ya kusikia Yanga wamemsajili Chama.

Joshua Mutale mliyemsaini kutoka Power Dynamo ni mzuri lkn mna uhakika kwa mazingira yetu atakuja ku click?

Azam wamesajili vzr sana msimu ujao, Singida Black Stars wamesajili vzr mno, Coastal Union hivyo hivyo, Yanga ndio balaa kubwa kabisa.

Mtaendelea kudondosha pointi mikoani wakati Yanga wataendelea kuwapasua tu hao, nyie endeleeni na akina Mzamiru, cjui Jobe.

Ila yote heri tu, hili ni fundisho kwa wanachama na mashabiki hoya hoya wanaopewa vijisenti kwenda kuchagua akina chifu Mangungo wa Msovero.

Balaa litaonekana ngao ya hisani, safari hii cjui kama hatukufungwa 6.
Na umeongea sahihi, Mzamiru hakustahili kuendelea kuwepo Simba.
 
Wewe nawe tuondolee upuuzi wako wa Chama, wenzako tumefurahi kuondolewa hicho kirusi kama unamtaka mfuate huko alikokwenda.
 
Unavyoandika maoni/mtazamo wako acha kujumlisha au kuwasemea na watu wengine..
Mimi kuondoka kwa Chama hakujaniathiri chochote.
 
Vp mwanetu uliambiwa mchezaji atacheza milele simba?
Stuka ww acha ushamba na ulimbukeni
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom