Viongozi wa Wekundu wa Msimbazi wanatucheza sana shere sisi wanachama na mashabiki

Kwanza wamekuwa waongo waongo sana, hawaaminiki hata kidogo, kufitiniana kumekuwa kwingi sana, weledi ni mdogo sana katika uendeshaji wa timu, Jaribu Tena amejiuzulu uenyekiti na kubakia ujumbe wa bodi lkn ukweli ni kuwa mwenyekiti wa bodi bw Mo asipokuwepo majukumu ya uenyekiti anamuachia Jaribu Tena, yaan Jaribu Tena nje anaonekana sio mwenyekiti lkn kwenye vikao ndio mwenyekiti, fuatilieni mihutsari ya vikao mtaona.

Mnawadanganya wajinga wajinga kuwa mnataka kumsajili Feitoto ili wati wasahau machungu ya Chama.

Mnawadanganya watu kuwa Chama amekwisha, hana spidi, guys, Chama ni habari nyingine.

Mnadanganya watu kuwa Chama ni msaliti, ushahidi kuwa aliihujumu Simba lini, mechi gani na nini alipewa hadi akahujumu? Mashabiki mnaimbishwa tu kuwa chama msaliti, chama mhujumu lkn ushahidi kuwa alihujumu haupo.

Mliposikia Chama kasaini Yanga mkaanza kumbembeleza kwa kutaka kuwarudishia yanga hela lkn mkawa mmechelewa.

Halafu mna mawasiliano na viongozi wa yanga chini kwa chini huku sisi mkituaminisha kuwa sio kweli.

Mmeishusha brand ya Simba vibaya sana, cjui msimu ujao mtawaambia nini mashabiki na wanachama maana kiukweli timu hatuna.

Chama anakwenda kuwa msaada mkubwa kwa Yanga, suala kuwa Chama amepunguza uwezo ni utoto na ulaghai.

Unawezaje kumpa silaha adui wako?

Kiufupi Chama amepelekwa Yanga na watu wakubwa ndani ya Wekundu wa Msimbazi.

Mmewasononesha sana mashabiki na wanachama wenu kwa kumuachia Chama ajiunge Yanga.

Narudia hata kama mtapuuza, hii timu iko katika mioyo yetu, mliopewa dhamana ya kuongoza kaeni mkijua kuwa mmetuumiza sana kumuachia Chama aende Yanga.

Wapo watu hawajafungua mitandao ya kijamii tangu jana walipomuona triple C akisaini Yanga.

Wapo watu hata makazini hawawajibiki vzr baada ya kusikia Yanga wamemsajili Chama.

Joshua Mutale mliyemsaini kutoka Power Dynamo ni mzuri lkn mna uhakika kwa mazingira yetu atakuja ku click?

Azam wamesajili vzr sana msimu ujao, Singida Black Stars wamesajili vzr mno, Coastal Union hivyo hivyo, Yanga ndio balaa kubwa kabisa.

Mtaendelea kudondosha pointi mikoani wakati Yanga wataendelea kuwapasua tu hao, nyie endeleeni na akina Mzamiru, cjui Jobe.

Ila yote heri tu, hili ni fundisho kwa wanachama na mashabiki hoya hoya wanaopewa vijisenti kwenda kuchagua akina chifu Mangungo wa Msovero.

Balaa litaonekana ngao ya hisani, safari hii cjui kama hatukufungwa 6.
Huruma kwa Mikia FC aka Mbumbumbu FC.
 
Ili tuwatendee haki viongozi, naomba utoe majibu haya:
  1. Kiongozi aliyesema Simba inataka kumsajili Feitoto anaitwa nani?
  2. Kiongozi aliyesema Chama ameisha na hana spidi anaitwa nani?
  3. Kiongozi aliyesema Chama ni msaliti anaitwa nani?
Huyo jamaa nimempuuza sana, anachukua mambo ya vijiweni/mitandaoni.
 
Simba maandazi tu anaweza kusikitishwa na kuondoka kwa Chama. Yaani unakubali Simba haikuwa vizuri, inajengwa mnaanza kelele. Acheni timu ijengwe upya
 
Kwanza wamekuwa waongo waongo sana, hawaaminiki hata kidogo, kufitiniana kumekuwa kwingi sana, weledi ni mdogo sana katika uendeshaji wa timu, Jaribu Tena amejiuzulu uenyekiti na kubakia ujumbe wa bodi lkn ukweli ni kuwa mwenyekiti wa bodi bw Mo asipokuwepo majukumu ya uenyekiti anamuachia Jaribu Tena, yaan Jaribu Tena nje anaonekana sio mwenyekiti lkn kwenye vikao ndio mwenyekiti, fuatilieni mihutsari ya vikao mtaona.

Mnawadanganya wajinga wajinga kuwa mnataka kumsajili Feitoto ili wati wasahau machungu ya Chama.

Mnawadanganya watu kuwa Chama amekwisha, hana spidi, guys, Chama ni habari nyingine.

Mnadanganya watu kuwa Chama ni msaliti, ushahidi kuwa aliihujumu Simba lini, mechi gani na nini alipewa hadi akahujumu? Mashabiki mnaimbishwa tu kuwa chama msaliti, chama mhujumu lkn ushahidi kuwa alihujumu haupo.

Mliposikia Chama kasaini Yanga mkaanza kumbembeleza kwa kutaka kuwarudishia yanga hela lkn mkawa mmechelewa.

Halafu mna mawasiliano na viongozi wa yanga chini kwa chini huku sisi mkituaminisha kuwa sio kweli.

Mmeishusha brand ya Simba vibaya sana, cjui msimu ujao mtawaambia nini mashabiki na wanachama maana kiukweli timu hatuna.

Chama anakwenda kuwa msaada mkubwa kwa Yanga, suala kuwa Chama amepunguza uwezo ni utoto na ulaghai.

Unawezaje kumpa silaha adui wako?

Kiufupi Chama amepelekwa Yanga na watu wakubwa ndani ya Wekundu wa Msimbazi.

Mmewasononesha sana mashabiki na wanachama wenu kwa kumuachia Chama ajiunge Yanga.

Narudia hata kama mtapuuza, hii timu iko katika mioyo yetu, mliopewa dhamana ya kuongoza kaeni mkijua kuwa mmetuumiza sana kumuachia Chama aende Yanga.

Wapo watu hawajafungua mitandao ya kijamii tangu jana walipomuona triple C akisaini Yanga.

Wapo watu hata makazini hawawajibiki vzr baada ya kusikia Yanga wamemsajili Chama.

Joshua Mutale mliyemsaini kutoka Power Dynamo ni mzuri lkn mna uhakika kwa mazingira yetu atakuja ku click?

Azam wamesajili vzr sana msimu ujao, Singida Black Stars wamesajili vzr mno, Coastal Union hivyo hivyo, Yanga ndio balaa kubwa kabisa.

Mtaendelea kudondosha pointi mikoani wakati Yanga wataendelea kuwapasua tu hao, nyie endeleeni na akina Mzamiru, cjui Jobe.

Ila yote heri tu, hili ni fundisho kwa wanachama na mashabiki hoya hoya wanaopewa vijisenti kwenda kuchagua akina chifu Mangungo wa Msovero.

Balaa litaonekana ngao ya hisani, safari hii cjui kama hatukufungwa 6.
Kama ni shabiki wa Chama mfate huko Chama alikoelekea waache mashabiki wa Simba wabaki na Simba.
 
d58cdca18d96493fa93bb2e22acef6cb.jpg
 
Back
Top Bottom