Viongozi wa Wekundu wa Msimbazi wanatucheza sana shere sisi wanachama na mashabiki

Huruma kwa Mikia FC aka Mbumbumbu FC.
 
Ili tuwatendee haki viongozi, naomba utoe majibu haya:
  1. Kiongozi aliyesema Simba inataka kumsajili Feitoto anaitwa nani?
  2. Kiongozi aliyesema Chama ameisha na hana spidi anaitwa nani?
  3. Kiongozi aliyesema Chama ni msaliti anaitwa nani?
Huyo jamaa nimempuuza sana, anachukua mambo ya vijiweni/mitandaoni.
 
Simba maandazi tu anaweza kusikitishwa na kuondoka kwa Chama. Yaani unakubali Simba haikuwa vizuri, inajengwa mnaanza kelele. Acheni timu ijengwe upya
 
Kama ni shabiki wa Chama mfate huko Chama alikoelekea waache mashabiki wa Simba wabaki na Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…