Viongozi wa West Ham wametumia vigezo gani kumpa kazi kocha mbovu David Moyes ?

Viongozi wa West Ham wametumia vigezo gani kumpa kazi kocha mbovu David Moyes ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wanajf mliopo England na wengine wote mnaoijua soka popote mlipo , naomba mnifahamishe sababu hasa ya bodi ya wakurugenzi ya West Ham kumpa kazi kocha wa hovyo kabisa David Moyes.

Binafsi nimejaribu kupekua huku na huko sijaambulia chochote .

Natanguliza shukrani .
 
Moyes wa Everton ndio picha waliyokuwa nayo bodi ya wakurugenzi wakati wakitafuta mrithi wa Billic
hata moyes wa evarton alikua kawaida sana, walikua hawaingii top 4 wakibahatisha ni ueropa. Ila kutokana na uwekezaji wao Moyes akaonekana kocha mzuri
 
hata moyes wa evarton alikua kawaida sana, walikua hawaingii top 4 wakibahatisha ni ueropa. Ila kutokana na uwekezaji wao Moyes akaonekana kocha mzuri
Kwa mtazamo wako West Ham wana malengo ya kuwa top 4?
 
Ufanisi wa timu unategemea vitu vingi sio kocha peke yake hata aina ya wachezaji alio wakuta moyes wa toffees aliitengeneza timu ya Everton namna alivyotaka aina ya wachezaji mpaka ikampa jina. Ukizingatia hilo hatuwezi kusema atafeli au atafanya vizuri muda ni suluhisho pekee so apewe muda.
 
Huko kote alikopita akavurunda kwa kiwango ambacho si rahisi kukisimulia maana ni aibu sana , hakupata nafasi hiyo ?
 
Moyes sijui ana nyota gani? Anafukuzwa hapa anapata kazi pale, ngoja tuone akiishusha hii timu Daraja ndio mwisho wake
Hata mimi nashangaa ! Huyu kocha hata ukimuangalia sura yake unaona kabisa lazima timu ishuke daraja .
 
Unahoji maamuzi ya wenye pesa zao?
Kumbuka waliyemtimua amelipwa pesa yake kuvunja mkataba.
Wao wanajua wanafanya nini na pesa au faida/hasara ni yao
 
Back
Top Bottom