Viongozi wa West Ham wametumia vigezo gani kumpa kazi kocha mbovu David Moyes ?

Viongozi wa West Ham wametumia vigezo gani kumpa kazi kocha mbovu David Moyes ?

hata moyes wa evarton alikua kawaida sana, walikua hawaingii top 4 wakibahatisha ni ueropa. Ila kutokana na uwekezaji wao Moyes akaonekana kocha mzuri
Rutubisha ubongo wako uwe na kumbukumbu msimu wa 2002-2003 Everton iliingia top 4 .
 
Mimi najiuliza kwanini MANCHESTER UNITED walimfukuza
DAVID MOYES ...??

Maana MOYES ni Bora kuliko MOURINHO.
 
Huko kote alikopita akavurunda kwa kiwango ambacho si rahisi kukisimulia maana ni aibu sana , hakupata nafasi hiyo ?
wapi alipewa muda wa kuijenga timu?..man u hakuzidi miezi 10..huwezi jenga timu kwa miezi kumi..man hawatachukua ubingwa mpaka muda wa mkataba wa Moyes uishe
 
Rekodi yake akiwa everton labda ndio imembeba.
 
wapi alipewa muda wa kuijenga timu?..man u hakuzidi miezi 10..huwezi jenga timu kwa miezi kumi..man hawatachukua ubingwa mpaka muda wa mkataba wa Moyes uishe
Kama ni muda alipata Sunderland , lakini iliposhuka daraja akatoka nduki , kwanini asingeanza nayo chini kama Benitez alivyoifanyia Newcastle ?

Kumtetea Moyes lazima uwe na roho ngumu sana !
 
Kaharibu Manfongo, kaharibu Real Socided na sasa zamu ya kuharibu West Ham
aliyeiharibu man u ni ferguson..kaondoka bila kuijenga,kaiacha timu na akina giggs,van persie nk..timu ilikua mkangafu
 
Mmenikumbusha lile bango maarufu la " The Chosen One " katika Jukwaa la Stretford End ndani ya Uwanja wa Old Trafford
banner_3150892b.jpg
 
Wanajf mliopo England na wengine wote mnaoijua soka popote mlipo , naomba mnifahamishe sababu hasa ya bodi ya wakurugenzi ya West Ham kumpa kazi kocha wa hovyo kabisa David Moyes.

Binafsi nimejaribu kupekua huku na huko sijaambulia chochote .

Natanguliza shukrani .


Ni kwa sababu ni mzungu na anatia huruma kukaa bila kazi.
 
Mkosi wa Moyes kaupata pale Oldtraford kwa Mashetani Wekundu. Hapo tu Sir Alex Furgadson alipomloga.
 
Back
Top Bottom