Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ubonge wa ukocha wake ni upi mkuu ?Jamaa bonge la kocha we mchukulie poa ivoivo
Nikulize swal moja tu ww umeanza kumjua Moyes kipind yupo timu ganUbonge wa ukocha wake ni upi mkuu ?
Moyes ndo anafaa pale nyie watu mtakuja kusema humuhumuHammers pale wangemrudisha big Sam na Sam Lee wale jamaa wako vizuri sana, Moyes ndio dizaini ya mourinho wanatembea na ngekewa tu
hata moyes wa evarton alikua kawaida sana, walikua hawaingii top 4 wakibahatisha ni ueropa. Ila kutokana na uwekezaji wao Moyes akaonekana kocha mzuriMoyes wa Everton ndio picha waliyokuwa nayo bodi ya wakurugenzi wakati wakitafuta mrithi wa Billic
Kwa mtazamo wako West Ham wana malengo ya kuwa top 4?hata moyes wa evarton alikua kawaida sana, walikua hawaingii top 4 wakibahatisha ni ueropa. Ila kutokana na uwekezaji wao Moyes akaonekana kocha mzuri
Kama unataka kumfahamu kwa sura, muangali Professor Buguruni. Wanafanana sana.Wekeni picha ya moyes
Huko kote alikopita akavurunda kwa kiwango ambacho si rahisi kukisimulia maana ni aibu sana , hakupata nafasi hiyo ?Ufanisi wa timu unategemea vitu vingi sio kocha peke yake hata aina ya wachezaji alio wakuta moyes wa toffees aliitengeneza timu ya Everton namna alivyotaka aina ya wachezaji mpaka ikampa jina. Ukizingatia hilo hatuwezi kusema atafeli au atafanya vizuri muda ni suluhisho pekee so apewe muda.
Hata mimi nashangaa ! Huyu kocha hata ukimuangalia sura yake unaona kabisa lazima timu ishuke daraja .Moyes sijui ana nyota gani? Anafukuzwa hapa anapata kazi pale, ngoja tuone akiishusha hii timu Daraja ndio mwisho wake