Rutubisha ubongo wako uwe na kumbukumbu msimu wa 2002-2003 Everton iliingia top 4 .hata moyes wa evarton alikua kawaida sana, walikua hawaingii top 4 wakibahatisha ni ueropa. Ila kutokana na uwekezaji wao Moyes akaonekana kocha mzuri
Moyes kaijenga Everton kwa pesa kidogo kwa muda mrefuhata moyes wa evarton alikua kawaida sana, walikua hawaingii top 4 wakibahatisha ni ueropa. Ila kutokana na uwekezaji wao Moyes akaonekana kocha mzuri
wapi alipewa muda wa kuijenga timu?..man u hakuzidi miezi 10..huwezi jenga timu kwa miezi kumi..man hawatachukua ubingwa mpaka muda wa mkataba wa Moyes uisheHuko kote alikopita akavurunda kwa kiwango ambacho si rahisi kukisimulia maana ni aibu sana , hakupata nafasi hiyo ?
hana jinaMimi najiuliza kwanini MANCHESTER UNITED walimfukuza
DAVID MOYES ...??
Maana MOYES ni Bora kuliko MOURINHO.
Yale hayatajirudiaRekodi yake akiwa everton labda ndio imembeba.
Kama ni muda alipata Sunderland , lakini iliposhuka daraja akatoka nduki , kwanini asingeanza nayo chini kama Benitez alivyoifanyia Newcastle ?wapi alipewa muda wa kuijenga timu?..man u hakuzidi miezi 10..huwezi jenga timu kwa miezi kumi..man hawatachukua ubingwa mpaka muda wa mkataba wa Moyes uishe
aliyeiharibu man u ni ferguson..kaondoka bila kuijenga,kaiacha timu na akina giggs,van persie nk..timu ilikua mkangafuKaharibu Manfongo, kaharibu Real Socided na sasa zamu ya kuharibu West Ham
moyes ameiingiza everton top 4, na alikuwa na budget ndogo sana, everton wamepata hela juzi tu.hata moyes wa evarton alikua kawaida sana, walikua hawaingii top 4 wakibahatisha ni ueropa. Ila kutokana na uwekezaji wao Moyes akaonekana kocha mzuri
Mmenikumbusha lile bango maarufu la " The Chosen One " katika Jukwaa la Stretford End ndani ya Uwanja wa Old Trafford
Wanajf mliopo England na wengine wote mnaoijua soka popote mlipo , naomba mnifahamishe sababu hasa ya bodi ya wakurugenzi ya West Ham kumpa kazi kocha wa hovyo kabisa David Moyes.
Binafsi nimejaribu kupekua huku na huko sijaambulia chochote .
Natanguliza shukrani .
Na bado !Moyes ameanza na kipigo cha 2-0 toka kwa Watford
Bado sana , huyu na Sunday Kayuni hawana tofauti .Moyes kala 4-0 jana