Viongozi wa Yanga acheni kucheza na roho za wachezaji wenu

Molinga aligoma kwenda na basi ,lamine moro jana kagoma mazoezi anasema haiwezekani watu wanaotoa msaada mdogo kwa timu ndo wanakuja na ndege ,sisi ambao tunajituma tunakuja na bus
Inashangaza molinga anakwea pipa kwenda huko...
 
Molinga aligoma kwenda na basi ,lamine moro jana kagoma mazoezi anasema haiwezekani watu wanaotoa msaada mdogo kwa timu ndo wanakuja na ndege ,sisi ambao tunajituma tunakuja na bus
Moro ana point ya msingi..
 
Kwa hizi timu inatakiwa kama ni bus iwe wote hadi benchi la ufundi ,kama ni ndege iwe wote pia ili kuondoa classes,maana wachezaji wanakuja njiani zaidi ya masaa 12,wanapunzika asubuhi wanaingia mazoezi tena ,wakati kocha kwenye ndege anakaa lisaa moja tu
Moro ana point ya msingi..
 
Kwanza kwa nini wasiwe wanapanda panda ndege kama SIMBA SPORTS CLUB?
wananga'ng'ana na basi la msaada la yutong?
 
Kwa hizi timu inatakiwa kama ni bus iwe wote hadi benchi la ufundi ,kama ni ndege iwe wote pia ili kuondoa classes,maana wachezaji wanakuja njiani zaidi ya masaa 12,wanapunzika asubuhi wanaingia mazoezi tena ,wakati kocha kwenye ndege anakaa lisaa moja tu
Hakukua na point ya kumpatia molinga tiketi ya kwenda, ilitakiwa kusoma alama za nyakati kuepuka kuvuruga kambi. Sasa kambini kuna makundi mawili...
 
Yanga sijui wana matatizo gani jambo likitaka kufanikiwa mdudu anaingilia katikati kweli unaipeleka timu Shinyanga kwa basi bovu be creative please
 
Back
Top Bottom