Inashangaza molinga anakwea pipa kwenda huko...
Moro ana point ya msingi..Molinga aligoma kwenda na basi ,lamine moro jana kagoma mazoezi anasema haiwezekani watu wanaotoa msaada mdogo kwa timu ndo wanakuja na ndege ,sisi ambao tunajituma tunakuja na bus
Moro ana point ya msingi..
Hakukua na point ya kumpatia molinga tiketi ya kwenda, ilitakiwa kusoma alama za nyakati kuepuka kuvuruga kambi. Sasa kambini kuna makundi mawili...Kwa hizi timu inatakiwa kama ni bus iwe wote hadi benchi la ufundi ,kama ni ndege iwe wote pia ili kuondoa classes,maana wachezaji wanakuja njiani zaidi ya masaa 12,wanapunzika asubuhi wanaingia mazoezi tena ,wakati kocha kwenye ndege anakaa lisaa moja tu