Viongozi wa Yanga acheni siasa Pyramid hamuwajui kisoka

Viongozi wa Yanga acheni siasa Pyramid hamuwajui kisoka

Wazee wa kupindua meza.. ..! mara nyingine tena wanaenda kupindukiwa na meza. NAWAAMINIA
 
Hii chuki inatoka wapi..kama Taifa kuna mahali tumekosea
Sio Chuki ndio Utani wa mpira huo Furaha ya simba ni yanga kufungwa na furaha ya yanga ni aimba kufungwa, Asikudanganye mtu hakuna uzalendo inapokuja simba na yanga
 
Afu Yanga acheni kujidanganya. Mnatakiwa muwe na akiba ya maneno.
Lamina Moro ana kadi hatacheza, Yondani ni majeruhi sijui ka itafika trh 27 atakua fit kucheza, Boksa ametoka Kwenye majeruhi ya muda mrefu hawezi kua na ubora ule ule.
Beki mlizobaki Nazo za kati ni Ali mtoni na Ali Ali.
Ali Ali tunamjua kujifunga ni jadi yake.
Uku beki wa kushoto anabaki yule mnamwita Mercelo wa Zanzibar sijui.
Muombee angalau Yondani apone. Ila zaidi ya hapo sioni beki za kucheza na hao pyramid
 
Kuna mchezaji WA pyramid kanunuliwa kwa
Bil 15 za kibongo
Pyramid timu ndogo sana hawajawahi kushinda hata kombe la kugombea kuku, wamepanda daraja mwaka jana ndio waifunge YANGA? YANGA hata wakicheza kikosi B hawafungwi na pyramid.
 
Hakika viongozi wetu wa vilabu vya soka Tanzania ni wanasiasa kabisa.Kwa watanzania walio wengi Klabu ya Pyramid ya Misri ni klabu isiyofahamika lakini mara baada ya jana CAF kutoa ratiba ya michuano na Klabu ya Yanga kupangiwa kucheza na Timu ya Pyramid ya Misri baadhi ya viongozi wa Yanga wameibeza Klabu hiyo na kujinasifu kuifunga timu hiyo.

Watanzania mtakumbuka viongozi hao hao wa Yanga walituhakikishia kupindua Meza nchini Zambia dhidi ya Zesco matokeo yake ni kubamizwa goli 2-1 na kutupwa nje.

Nashauri uongozi wa Klabu ya Yanga wawe makini na kauli zao mpira wa karne hii ni tofauti sana sio ule wa ushirikina kama walivyozoea, Klabu za Misri ni klabu zenye uchumi mzuri hivyo zinaajiri na kusajiri Makocha na wachezaji wazuri tofauti na Klabu za Tanzania.

Usihofu mkuu, Yanga ni timu ya kipumbavu tu.....kamwe haitofuzu, wao mpira wao siku zote toka kitambo ni mdomoni na magazetini tu.
 
Vyura fc wasubiri wacheze mechi zao mbili warudi kupambana mchangani na Mikia fc kugombea tiketi za mwakani
 
Wewe ndezi hufuatilii soka...Kwa taarifa yako hao ndio habari ya jiji la Cairo..gharama ya mchezaji mmoja unanunua Yanga yote na ukoo wa Zahera.
Mchezaji Keno Keno alinunuliwa kwa bilioni 20 sawa na gharama yote ya uwekezaji wa Mo dewji
 
Mbona Simba alimfunga Al Ahly na mchezaji wao wa Bil 10 kutoka Uingereza. All in all Yanga ashatoka, wacha akamilishe ratiba
 
Zote zinaishia na lioni b na m zisikuchanganye piramidi wanakaa tena vema tu!this is yanga brother
Wakati huohuo Vyura wanataka kumlinganisha huyo na Molinga wa Tsh. Milioni20..WTF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Team kupata nafasi confederation cup kutoka ligi ya egypt yenye team kama zamalek, ismaily, al-haly si ya kubeza. Kwa kikosi chetu cha yanga tutegemee kupoteza mechi zote mbili.
 
Kama mchambuzi professional nilihisi utakuja na taarifa sahihi kuhusu pyramids lakin inaonekana nawewe unaleta siasa michezoni.Hii haitoisadia Yanga kama nia yako ni safi

Lengo lakin ni kuidunisha Yanga,kuitweza na kuidharau kitu ambacho hakifai.
 
Wakati huohuo Vyura wanataka kumlinganisha huyo na Molinga wa Tsh. Milioni20..WTF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bei ya kikosi siyo sababu, US Dong walikuwa na wachezaji wa buku jero ila simba alichomolewa asubuhi asubuhi.
 
Hakika viongozi wetu wa vilabu vya soka Tanzania ni wanasiasa kabisa.Kwa watanzania walio wengi Klabu ya Pyramid ya Misri ni klabu isiyofahamika lakini mara baada ya jana CAF kutoa ratiba ya michuano na Klabu ya Yanga kupangiwa kucheza na Timu ya Pyramid ya Misri baadhi ya viongozi wa Yanga wameibeza Klabu hiyo na kujinasifu kuifunga timu hiyo.

Watanzania mtakumbuka viongozi hao hao wa Yanga walituhakikishia kupindua Meza nchini Zambia dhidi ya Zesco matokeo yake ni kubamizwa goli 2-1 na kutupwa nje.

Nashauri uongozi wa Klabu ya Yanga wawe makini na kauli zao mpira wa karne hii ni tofauti sana sio ule wa ushirikina kama walivyozoea, Klabu za Misri ni klabu zenye uchumi mzuri hivyo zinaajiri na kusajiri Makocha na wachezaji wazuri tofauti na Klabu za Tanzania.
Unataka waseme Yanga itafungwa?
Kwani hao ni UD Songo?
 
Wewe ndezi hufuatilii soka...Kwa taarifa yako hao ndio habari ya jiji la Cairo..gharama ya mchezaji mmoja unanunua Yanga yote na ukoo wa Zahera.
Thamani ya Mikia inajukikana. Asilimia 49 za Mo Dewji na sawa na mchezaji mmoja was Pyramid. Yaani billion 20.
Thamani ya Yanga unaijua?
 
Back
Top Bottom