Hii chuki inatoka wapi..kama Taifa kuna mahali tumekoseajamani natamani yanga wafungwe πππππππππ7-1
Hii chuki inatoka wapi..kama Taifa kuna mahali tumekosea
Sio Chuki ndio Utani wa mpira huo Furaha ya simba ni yanga kufungwa na furaha ya yanga ni aimba kufungwa, Asikudanganye mtu hakuna uzalendo inapokuja simba na yangaHii chuki inatoka wapi..kama Taifa kuna mahali tumekosea
Kuna wachambuzi uchwara wa soka nao wanachangia mpira kuchezwa midomoniMpira wetu tunacheza mdomoni.
Pyramid timu ndogo sana hawajawahi kushinda hata kombe la kugombea kuku, wamepanda daraja mwaka jana ndio waifunge YANGA? YANGA hata wakicheza kikosi B hawafungwi na pyramid.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna mchezaji kanunuliwa Bilion 20 klabu hiyo hiyo ya Pyramid
Hakika viongozi wetu wa vilabu vya soka Tanzania ni wanasiasa kabisa.Kwa watanzania walio wengi Klabu ya Pyramid ya Misri ni klabu isiyofahamika lakini mara baada ya jana CAF kutoa ratiba ya michuano na Klabu ya Yanga kupangiwa kucheza na Timu ya Pyramid ya Misri baadhi ya viongozi wa Yanga wameibeza Klabu hiyo na kujinasifu kuifunga timu hiyo.
Watanzania mtakumbuka viongozi hao hao wa Yanga walituhakikishia kupindua Meza nchini Zambia dhidi ya Zesco matokeo yake ni kubamizwa goli 2-1 na kutupwa nje.
Nashauri uongozi wa Klabu ya Yanga wawe makini na kauli zao mpira wa karne hii ni tofauti sana sio ule wa ushirikina kama walivyozoea, Klabu za Misri ni klabu zenye uchumi mzuri hivyo zinaajiri na kusajiri Makocha na wachezaji wazuri tofauti na Klabu za Tanzania.
Mchezaji Keno Keno alinunuliwa kwa bilioni 20 sawa na gharama yote ya uwekezaji wa Mo dewjiWewe ndezi hufuatilii soka...Kwa taarifa yako hao ndio habari ya jiji la Cairo..gharama ya mchezaji mmoja unanunua Yanga yote na ukoo wa Zahera.
Wakati huohuo Vyura wanataka kumlinganisha huyo na Molinga wa Tsh. Milioni20..WTF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bei ya kikosi siyo sababu, US Dong walikuwa na wachezaji wa buku jero ila simba alichomolewa asubuhi asubuhi.Wakati huohuo Vyura wanataka kumlinganisha huyo na Molinga wa Tsh. Milioni20..WTF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka waseme Yanga itafungwa?Hakika viongozi wetu wa vilabu vya soka Tanzania ni wanasiasa kabisa.Kwa watanzania walio wengi Klabu ya Pyramid ya Misri ni klabu isiyofahamika lakini mara baada ya jana CAF kutoa ratiba ya michuano na Klabu ya Yanga kupangiwa kucheza na Timu ya Pyramid ya Misri baadhi ya viongozi wa Yanga wameibeza Klabu hiyo na kujinasifu kuifunga timu hiyo.
Watanzania mtakumbuka viongozi hao hao wa Yanga walituhakikishia kupindua Meza nchini Zambia dhidi ya Zesco matokeo yake ni kubamizwa goli 2-1 na kutupwa nje.
Nashauri uongozi wa Klabu ya Yanga wawe makini na kauli zao mpira wa karne hii ni tofauti sana sio ule wa ushirikina kama walivyozoea, Klabu za Misri ni klabu zenye uchumi mzuri hivyo zinaajiri na kusajiri Makocha na wachezaji wazuri tofauti na Klabu za Tanzania.
Thamani ya Mikia inajukikana. Asilimia 49 za Mo Dewji na sawa na mchezaji mmoja was Pyramid. Yaani billion 20.Wewe ndezi hufuatilii soka...Kwa taarifa yako hao ndio habari ya jiji la Cairo..gharama ya mchezaji mmoja unanunua Yanga yote na ukoo wa Zahera.
Mmepindua meza kwa Mashujaa?Wazee wa kupindua meza.. ..! mara nyingine tena wanaenda kupindukiwa na meza. NAWAAMINIA