covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Ni jambo la kusikitisha na uzuni sana wachezaji wetu wamepigwa usinga tayari pale Azam Complex hatutakiwi kurudi pale hadi tujiweke sawa.
Tulishawaambia kabla ya match ya Azam VS Yanga wazee kutoka Pemba walikuwa wanausomea ule uwanja wiki zima bado midawa yao inanguvu kwa sasa pale hapatufai.
Cha mwisho nakuomba engineer Hersi mtafute Haji Manara mmalizane nae vizuri atatufelisha yule na champion ipo karibu.
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024