Viongozi wa Yanga mmefanya makosa sana kurudi Chamazi kucheza pale, ule uwanja hautufai

Viongozi wa Yanga mmefanya makosa sana kurudi Chamazi kucheza pale, ule uwanja hautufai

Sababu kuu ya kutokucheza pale ni uchawi? Ndio mindset hizi halaf unategemea ushinde ligi ya mabingwa afrika?

Top leagues huko ulaya wangekuwa na mindset hizi wangefika hapo walipo?
Mpira wa bongo unajulikana ushirikina upo lipo wazi hilo..
 
Mpira wa bongo unajulikana ushirikina upo lipo wazi hilo..
Ndio maana haupigi hatua kufika mbali, wenzetu ambao ligi zao ni top huko nje walifika hapo kwa ushirikina? Kwa aina hiyo ya mawazo?
 
Back
Top Bottom