Ni jambo la kusikitisha na uzuni sana wachezaji wetu wamepigwa usinga tayari pale Azam Complex hatutakiwi kurudi pale hadi tujiweke sawa.
Tulishawaambia kabla ya match ya Azam VS Yanga wazee kutoka Pemba walikuwa wanausomea ule uwanja wiki zima bado midawa yao inanguvu kwa sasa pale hapatufai.
Cha mwisho nakuomba engineer Hersi mtafute Haji Manara mmalizane nae vizuri atatufelisha yule na champion ipo karibu.
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024
Ila ishu ya manara inaweza.kua kweli aise jamaa yule ukimzarau au kumpa.kisogo kwamba hana maana aise atakachokufanyia utaliaMnatafutana sasa, hahah Manara tena?
Tuseme hakuna uchawi hata hivyo Azam Complex si uwanja wenye bahati nasi uto tukubali bora tuhamie KMC complex kabla hatujafungwa zaidi, yawezekana ukiacha wachezaji kuchoka pia saikolojia yao ina shida na Azam complex baada ya kufungwa na Azam pale na Baka kutolewa kwa red card .
Ni jambo la kusikitisha na uzuni sana wachezaji wetu wamepigwa usinga tayari pale Azam Complex hatutakiwi kurudi pale hadi tujiweke sawa.
Tulishawaambia kabla ya match ya Azam VS Yanga wazee kutoka Pemba walikuwa wanausomea ule uwanja wiki zima bado midawa yao inanguvu kwa sasa pale hapatufai.
Cha mwisho nakuomba engineer Hersi mtafute Haji Manara mmalizane nae vizuri atatufelisha yule na champion ipo karibu.
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024
Inategemea na mazingira ya kufugwa huko sio yanga na nbc hiiWatu kama nyie mnaoamini sana ushirikina ni wakukaa nanyi mbali sana. Kumuondoa mtu ni dakika mbili tu.
Kafungwa Man City mechi tatu mfululizo na ya tatu kala 4 ila maisha yanaendelea.
Sababu kuu ya kutokucheza pale ni uchawi? Ndio mindset hizi halaf unategemea ushinde ligi ya mabingwa afrika?Ni jambo la kusikitisha na uzuni sana wachezaji wetu wamepigwa usinga tayari pale Azam Complex hatutakiwi kurudi pale hadi tujiweke sawa.