covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 6,967 Reaction score 17,452 Nov 8, 2024 Thread starter #21 Detective J said: Sababu kuu ya kutokucheza pale ni uchawi? Ndio mindset hizi halaf unategemea ushinde ligi ya mabingwa afrika? Top leagues huko ulaya wangekuwa na mindset hizi wangefika hapo walipo? Click to expand... Mpira wa bongo unajulikana ushirikina upo lipo wazi hilo..
Detective J said: Sababu kuu ya kutokucheza pale ni uchawi? Ndio mindset hizi halaf unategemea ushinde ligi ya mabingwa afrika? Top leagues huko ulaya wangekuwa na mindset hizi wangefika hapo walipo? Click to expand... Mpira wa bongo unajulikana ushirikina upo lipo wazi hilo..
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Nov 8, 2024 #22 covid 19 said: Mpira wa bongo unajulikana ushirikina upo lipo wazi hilo.. Click to expand... Ndio maana haupigi hatua kufika mbali, wenzetu ambao ligi zao ni top huko nje walifika hapo kwa ushirikina? Kwa aina hiyo ya mawazo?
covid 19 said: Mpira wa bongo unajulikana ushirikina upo lipo wazi hilo.. Click to expand... Ndio maana haupigi hatua kufika mbali, wenzetu ambao ligi zao ni top huko nje walifika hapo kwa ushirikina? Kwa aina hiyo ya mawazo?