Aje Jerry Muro tuone kama manara atarudia tabia yake chafu wakati wa Muro aliufyata baada ya Muro kuondoka kapata nguvu Juzi kama miezu miwili wakati Muro manara alipewa vidonge vyake mpaka akajaribu hata kuingiza serikali ili wamsaidie lakini kapuzwa kajaribu kuwahamasisha hata waislamu eti Muro katukana uislamu nako wakaampuza Muro tunakuomba chukua hata wiki mbili uje udeal na huyu mpaka anaidhalilisha hata nembo ya Yanga ndio maana Muro alimwita kama kihirizi cha simba