SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Utakuwa kibaka tu wewe unaiba hizo jezi.Nani amekwambia Jezi hununuliwa na mashabiki tu? Mimi nina Jersey ya Arsenal, Leeds na Spurs ila nashabikia Arsenal.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa kibaka tu wewe unaiba hizo jezi.Nani amekwambia Jezi hununuliwa na mashabiki tu? Mimi nina Jersey ya Arsenal, Leeds na Spurs ila nashabikia Arsenal.
Hawa watopolo washamba na malimbukeni tu,nakumbuka tukiwa wadogo mtu ukipewa jina la utani kama hulipendi na ukionyesha kukasirika basi ndiyo linakuganda, sasa kwa hasira hizi ndiyo mnazidi kujiumiza wenyewe.Nimesoma hii thread, na haya ni yangu
1. Huwezi kumtangaza manara kama adui namba moja wa Yanga, yanga ni kubwa kiumri na hata kihistoria ukimlinganisha na manara. Iweje mtoto awe na uadui na wazazi wake?....
Vumilia dawa iingie fresh uponeJifunze kwanza kuandika kabla ya kukosoa,neno 'kizuri' sio 'kizuli'
Sasa timu mbovu ndio inaongoza ligi mzee,Timu mbovu haijapoteza mchezo, wewe huko kwako vipi? Dah! kweli nimeamini milembe wanapelekwa wasiostahili.Kama Manara anaweza kuharibu brand ya Yanga kiasi cha wanachama na mashabiki wa Yanga kuichukia kabisa brand yao basi Manara anatakiwa abaki Simba miaka yote na makampun makubwa yanamuhitaji mtu kama huyu, yaan mim nisipende kitu changu kwasababu fulan anakiponda? Nani ana shida hapo, anayekiponda au wew mwenye kitu chako? Tulien kidi, timu lenu libovu mliweka matumain makubwa sana kwa wachezaji wa Kawaida saaaanaaaa, rudini kweny raman mjipange upya otherwise mtaendelea kualalamika na haitasaidia chochote.
Nivumilie nini wakati Yanga ni UnbeatableVumilia dawa iingie fresh upone
Kwahiyo mna timu pale, mimi Nina michezo 18 point 42 wew una michezo 20 point 46 nani ana wastan mzuri wa mechi na points? Na unadhan mngekuwa na timu mngelia lia hivi?Sasa timu mbovu ndio inaongoza ligi mzee,Timu mbovu haijapoteza mchezo, wewe huko kwako vipi? Dah! kweli nimeamini milembe wanapelekwa wasiostahili.
Weee utakua huna akili. Jezi ya Spurs na Arsenal ni Sawa uwe na Jersey ya Simba na Yanga.Nani amekwambia Jezi hununuliwa na mashabiki tu? Mimi nina Jersey ya Arsenal, Leeds na Spurs ila nashabikia Arsenal.
Hata mimi nawashangaa hawa utoKwa brand gani mlionayo?
We Mwakalebea ni lipumbavuh sana. Toka hapa na litumbo lako kama una choo self cont. Yaani unataka sema tunafungwa sababu ya Manara kutusema? Ondoka hapa unatia kichefu chefu zuzu maji,bwege mkubwa wewe huna akili.Kumekua na udhalilishaji mkubwa juu ya brand ya Yanga kwa kisingizio cha utani wa jadi kinachofanywa na Kiongozi wa Simba anayejiita Hajji Manara..