Viongozi wa Yanga mnapaswa kuchukua hatua hizi dhidi ya Manara

Viongozi wa Yanga mnapaswa kuchukua hatua hizi dhidi ya Manara

Nimesoma hii thread, na haya ni yangu
1. Huwezi kumtangaza manara kama adui namba moja wa Yanga, yanga ni kubwa kiumri na hata kihistoria ukimlinganisha na manara. Iweje mtoto awe na uadui na wazazi wake?....
Hawa watopolo washamba na malimbukeni tu,nakumbuka tukiwa wadogo mtu ukipewa jina la utani kama hulipendi na ukionyesha kukasirika basi ndiyo linakuganda, sasa kwa hasira hizi ndiyo mnazidi kujiumiza wenyewe.

Hivi mumesahau wakati yule mjivuni muosha viatu jeni muro alivyokuwa msemaji wenu alivyokuwa anatuita majina ya ajabu ajabu na kashfa kibao,lakini kwa vile tulimuona zoba tukapiga kimya hadi wenyewe mkamtema.
 
Kama Manara anaweza kuharibu brand ya Yanga kiasi cha wanachama na mashabiki wa Yanga kuichukia kabisa brand yao basi Manara anatakiwa abaki Simba miaka yote na makampun makubwa yanamuhitaji mtu kama huyu, yaan mim nisipende kitu changu kwasababu fulan anakiponda? Nani ana shida hapo, anayekiponda au wew mwenye kitu chako? Tulien kidi, timu lenu libovu mliweka matumain makubwa sana kwa wachezaji wa Kawaida saaaanaaaa, rudini kweny raman mjipange upya otherwise mtaendelea kualalamika na haitasaidia chochote.
Sasa timu mbovu ndio inaongoza ligi mzee,Timu mbovu haijapoteza mchezo, wewe huko kwako vipi? Dah! kweli nimeamini milembe wanapelekwa wasiostahili.
 
Yanga au Uto kabla ya kupiga kelele mjitathmini kwanza. Je tuna kikosi cha kupambania ubingwa?
Kanuni za ubingwa duniani kote.
1. Kufunga magoli mengi. Je mnafunga magoli mengi?
2. Kuruhusu magoli machache. je mnaruhusu magoli machache?
3. Forward line. Je kuna top strikers wenye magoli mengi?
4. Creating scoring chance. Je mnatengeneza nafasi nyingi uwanjani?

Uto mlete majibu.

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
Pigeni mpira, timu ynu ikifanya vizuri uwanjani basi na biashara yenu ya madela itaenda vizuri; acha kumtumia Manara kama scape goat.
 
Kwani Mwakalebela Ni Brand Ambassador wa Kampuni gani?😂😂😂 Alafu Yanga Hamna Brand nyie yan unatengeneza madela nani anunue, kalenda zenu nani anunue watu siku hiz wana kalenda kwenye simu, saa, magari n.k Wewe na kalenda lako la kutundika nani anunue?

Acheni visingizio wazeee. Simba kawekeza pesa nyingi kwenye kila kitu nyie mnawekeza maneno. Hata mkimuweza manara kwamba kina Chama wataacha kufunga au😄😄😄 Au Yikpe atatua msimbazi?
 
Sasa timu mbovu ndio inaongoza ligi mzee,Timu mbovu haijapoteza mchezo, wewe huko kwako vipi? Dah! kweli nimeamini milembe wanapelekwa wasiostahili.
Kwahiyo mna timu pale, mimi Nina michezo 18 point 42 wew una michezo 20 point 46 nani ana wastan mzuri wa mechi na points? Na unadhan mngekuwa na timu mngelia lia hivi?
 
haaa haaa taasisi nzima inashindana na mtu mmoja halafu mmenyosha mikono mnataka msaada wa serikali. wapuuzi kabisa
 
Nani amekwambia Jezi hununuliwa na mashabiki tu? Mimi nina Jersey ya Arsenal, Leeds na Spurs ila nashabikia Arsenal.
Weee utakua huna akili. Jezi ya Spurs na Arsenal ni Sawa uwe na Jersey ya Simba na Yanga.
Kama akili unazo Kwanza nisamehe pili utakua si mshabiki wa mpira
 
Sasa nimepata jibu kwanini Yanga walipigania sana kuwa Manara Afukuzwe Simba 😂😂

Yani Manara mmoja anaharibu Brand ya Taasisi mpaka wanaomba wasaidiwe 😂
Sasa hapo nani mwenye Brand kubwa kati ya Manara au Taasisi?

Siku mutakayokubali kuwa hao GSM wanamtegemea Manara kukuza Brand yao ndiyo mutakayoamini kuwa Yanga hamuna Akili
 
Kumekua na udhalilishaji mkubwa juu ya brand ya Yanga kwa kisingizio cha utani wa jadi kinachofanywa na Kiongozi wa Simba anayejiita Hajji Manara..
We Mwakalebea ni lipumbavuh sana. Toka hapa na litumbo lako kama una choo self cont. Yaani unataka sema tunafungwa sababu ya Manara kutusema? Ondoka hapa unatia kichefu chefu zuzu maji,bwege mkubwa wewe huna akili.
 
Jamani wanasimba msemaji wao aliwaambia wavimbe na wao wamevimba kweli.kwahiyo mkiwachokoza kidogo wanapasuka.
 
Back
Top Bottom