NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Mpaka sasa NALIA NGWENA kutoka kwenye vyanzo vyangu ninavyoviamini, Khalid Aucho na Goli kipa Diara bado hawajaripoti kambini na hakuna taarifa yoyote kuwahusu.
Aucho ndiyo kiungo bora na ni muhimu sana pamoja na Diara.
Viongozi wekeni wazi, wapo wapi hawa wachezaji? Msisubiri mpaka Simba SC waanze kusambaza propaganda za hovyo kama walivyofanya kwa CEO Mtine.