Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiandike kiumbeya umbeya!Halafu mtuambie pia Djuma Shabani ameuzwa shingi ngapi mbona anaondoka kimya kimya maana mmeshaanza kusingizia utovu wa nidhamu wakati hatujawahi kusikia chokochoko zozote
Yeah linaungua kabisa kubakia majibuKumbe sindano huwa zinawaingia ila mnashupaza shingo tu?
Sasa elewa gari ndio limewaka.
Maneno yasiwe mengi, tupeni taarifa tumeingiza bilioni ngapiUsiandike kiumbeya umbeya!
Mimi siyo kiongozi wa Yanga, lakini wewe unaandika kiumbeya umbeya.Maneno yasiwe mengi, tupeni taarifa tumeingiza bilioni ngapi
Ila tetesi za Mayele kuuzwa dola 800,000 siyo umbeya?Mimi siyo kiongozi wa Yanga, lakini wewe unaandika kiumbeya umbeya.