Viongozi wa Yanga SC tuambieni mashabiki ukweli kuhusu Khalid Aucho na Golikipa Diara

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Mpaka sasa NALIA NGWENA kutoka kwenye vyanzo vyangu ninavyoviamini, Khalid Aucho na Goli kipa Diara bado hawajaripoti kambini na hakuna taarifa yoyote kuwahusu.

Aucho ndiyo kiungo bora na ni muhimu sana pamoja na Diara.

Viongozi wekeni wazi, wapo wapi hawa wachezaji? Msisubiri mpaka Simba SC waanze kusambaza propaganda za hovyo kama walivyofanya kwa CEO Mtine.

Wote hao
 
Taarifa zinasema Midfield Khalid Aucho (53) mwenye uraia wa Uganda anatarajia kuripoti wakati wowote kwenye kambi baada ya kumaliza vikao vya kifamilia.

Ila taarifa za mlinda mlango Djgui Diarra (44) raia wa Mali bado hazijanifikia.
 
Wachezaji waliokuwa timu za Taifa walipewa muda wa ziada ya kupumzika....wiki kesho timu itakuwa imekamilika......hao makolo Kuna zaidi ya wachezaji wanne na makocha wao hawapo Uturuki
 
Yanga hii misimu miwili wametumia nguvu nyingi sana ili kuwaridhisha mashabiki wao.
Sasa hivi nguvu zimeisha, itabaki kuwa timu ya kawaida tu. Kama inavyotakiwa kuwa.
Kumbe sindano huwa zinawaingia ila mnashupaza shingo tu?

Sasa elewa gari ndio limewaka.
 
Taarifa zinasema Midfield Khalid Aucho (53) mwenye uraia wa Uganda anatarajia kuripoti wakati wowote kwenye kambi baada ya kumaliza vikao vya kifamilia.

Ila taarifa za mlimda mlango Dgjui Diarra (44) raia wa Mali bado hazijanufikia.

Mkuu kwenye izo mabano ni nini?!
 
Yanga hii misimu miwili wametumia nguvu nyingi sana ili kuwaridhisha mashabiki wao.
Sasa hivi nguvu zimeisha, itabaki kuwa timu ya kawaida tu. Kama inavyotakiwa kuwa.
Duuh hahahah
 
hawa watakuwa ka likizo kao karefu kidogo,wametumika sana msimu huu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…