Viongozi wa Yanga SC tuambieni mashabiki ukweli kuhusu Khalid Aucho na Golikipa Diara

Halafu mtuambie pia Djuma Shabani ameuzwa shingi ngapi mbona anaondoka kimya kimya maana mmeshaanza kusingizia utovu wa nidhamu wakati hatujawahi kusikia chokochoko zozote
 
Usiandike kiumbeya umbeya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…