Yaani unawashauri Yanga asajili kama Azam na Simba!!! Simba na Azam waliotolewa kwenye mashindano ya Caf kwenye hatua za awali !!!.Simba na Azam zinazo cheza mchangani!!! Timu zetu zinapimwa katika mashindano ya Caf ii ligi yetu marefa wetu wana uza mechi, Ligi ya Tanzania Sio kipimo halisi cha uwezo wa timu.Zahera kaishasema kuwa wamesajili kwa ajili ya premier league, wanatosha.
Tatizo sio wachezaji..hili zee halina mbinu..huko nyumbani unaanza na striker mmoja?#Zaheraout
Tatizo sio wachezaji..hili zee halina mbinu..huko nyumbani unaanza na striker mmoja?#Zaheraout
Hapo sasa.........Yaani unawashauri Yanga asajili kama Azam na Simba!!! Simba na Azam waliotolewa kwenye mashindano ya Caf kwenye hatua za awali !!!.Simba na Azam zinazo cheza mchangani!!! Timu zetu zinapimwa katika mashindano ya Caf ii ligi yetu marefa wetu wana uza mechi, Ligi ya Tanzania Sio kipimo halisi cha uwezo wa timu.
Ndio maana Azam na Simba walipo ingia kwenye kipimo cha Caf walitolewa round ya kwanza.