Viongozi wa Yanga wajifunze, una mechi muhimu ya kimataifa, unashiriki vikao vya CCM?

Viongozi wa Yanga wajifunze, una mechi muhimu ya kimataifa, unashiriki vikao vya CCM?

Bulelaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
1,342
Reaction score
3,247
Ni dhambi kuisema laana hadharani?

Kila mshirika wa moja kwa moja CCM, anasitahili laana

Kilichotokea leo ni matokeo ya viongozi wa Yanga kushiriki vikao na waliokataliwa na Mungu na wao wameshiriki kilekile kinachowastahili ccm
 
Kiongozi yupi wa Yanga aliyeshiriki kikao Cha CCM!!
Maana isijekua ni hoja za ki mbumbumbu?
 
Mimi niliangalia kwa makini mazoezi ya Yanga jana sijui juzi pale taifa.

Wachezaji walikuwa too relaxed, wengine wamekaa pembeni wanaongea na simu. Huku viongozi wanawaletea mchezaji mpya ambaye hata hawezi kucheza mashindano husika. Timu imepoteza focus kwa kujiona wakuuubwa.

Nilisema juzijuzi hapa, Yanga ishukuru inaenda kutoka mapema, huko mbele ingeenda kuaibika.
 
Ndugu mbumbumbu hakuna timu yoyote Duniani inayohusisha makocha professional watakao toa mazoezi Magumu masaa 24 kabla ya mechi.
Ndani ya masaa 24 ni mwendo wa mbinu tu Wala si maguvu.
 
Kabla ya Game muhimu ya leo ya Yanga na MC Alger kupigwa kulikuwa na Mkutano wa CCM Dodoma wenye lengo la Kumteua Steven Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mkutano uliopuuzwa kabisa na Wananchi wote

Huwezi kuwa na mechi kama hii ukaingia kwenye vikao kama hivyo halafu ukategemea ushindi.

Mmevuna mlichopanda
 
Sio kweli wewe, mara ngapi Injinia anakwenda kwenye vikao vya CAF akiwa ameiacha Yanga na mechi kubwa
 
Ni dhambi kuisema laana hadharani?

Kila mshirika wa moja kwa moja CCM, anasitahili laana

Kilichotokea leo ni matokeo ya viongozi wa Yanga kushiriki vikao na waliokataliwa na Mungu na wao wameshiriki kilekile kinachowadtahili ccm
Post ya kipuuzi kabisa hii
 
Ni dhambi kuisema laana hadharani?

Kila mshirika wa moja kwa moja CCM, anasitahili laana

Kilichotokea leo ni matokeo ya viongozi wa Yanga kushiriki vikao na waliokataliwa na Mungu na wao wameshiriki kilekile kinachowadtahili ccm
Megalodon
 
Back
Top Bottom