Viongozi wa Yanga wajifunze, una mechi muhimu ya kimataifa, unashiriki vikao vya CCM?

Viongozi wa Yanga wajifunze, una mechi muhimu ya kimataifa, unashiriki vikao vya CCM?

Ni dhambi kuisema laana hadharani?

Kila mshirika wa moja kwa moja CCM, anasitahili laana

Kilichotokea leo ni matokeo ya viongozi wa Yanga kushiriki vikao na waliokataliwa na Mungu na wao wameshiriki kilekile kinachowastahili ccm
Uto ni mali ya CCM kama hujui..

Kuanguka kwa Uto ni kuanguka kwa CCM
 
Kwani hao viongozi ndio wanacheza uwanjani? Ndio maana kuna shabiki wa utopolo nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba namuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu🤣🤣🤣
Chai
 
Kabla ya Game muhimu ya leo ya Yanga na MC Alger kupigwa kulikuwa na Mkutano wa CCM Dodoma wenye lengo la Kumteua Steven Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mkutano uliopuuzwa kabisa na Wananchi wote

Huwezi kuwa na mechi kama hii ukaingia kwenye vikao kama hivyo halafu ukategemea ushindi.

Mmevuna mlichopanda
Hata sisi Simba tulikuwa hapo na tulisha vuna
 
Ni dhambi kuisema laana hadharani?

Kila mshirika wa moja kwa moja CCM, anasitahili laana

Kilichotokea leo ni matokeo ya viongozi wa Yanga kushiriki vikao na waliokataliwa na Mungu na wao wameshiriki kilekile kinachowastahili ccm
Kikao kinahusiana Nini na mchezaji kucheza mpira kwenye Pitch?
 
Back
Top Bottom