Hivi hujui kuwa kuna ndege za kukodi?Engineer alikuwepo kwa Mkapa Labda kama ulimaanisha Mangungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hujui kuwa kuna ndege za kukodi?Engineer alikuwepo kwa Mkapa Labda kama ulimaanisha Mangungu
Uto ni mali ya CCM kama hujui..Ni dhambi kuisema laana hadharani?
Kila mshirika wa moja kwa moja CCM, anasitahili laana
Kilichotokea leo ni matokeo ya viongozi wa Yanga kushiriki vikao na waliokataliwa na Mungu na wao wameshiriki kilekile kinachowastahili ccm
ChaiKwani hao viongozi ndio wanacheza uwanjani? Ndio maana kuna shabiki wa utopolo nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba namuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu🤣🤣🤣
Ewaaa ila kweli wapewe wao!Msilie, Mama kaagiza point za Simba kesho wagawiwe Yanga waingie robo
Hata sisi Simba tulikuwa hapo na tulisha vunaKabla ya Game muhimu ya leo ya Yanga na MC Alger kupigwa kulikuwa na Mkutano wa CCM Dodoma wenye lengo la Kumteua Steven Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mkutano uliopuuzwa kabisa na Wananchi wote
Huwezi kuwa na mechi kama hii ukaingia kwenye vikao kama hivyo halafu ukategemea ushindi.
Mmevuna mlichopanda
Kikao kinahusiana Nini na mchezaji kucheza mpira kwenye Pitch?Ni dhambi kuisema laana hadharani?
Kila mshirika wa moja kwa moja CCM, anasitahili laana
Kilichotokea leo ni matokeo ya viongozi wa Yanga kushiriki vikao na waliokataliwa na Mungu na wao wameshiriki kilekile kinachowastahili ccm
Sasa mechi na Mkutano mkuu wa CCM kipi muhimu?