Viongozi wa Yanga wanaongea kama viongozi wa Ihefu

Viongozi wa Yanga wanaongea kama viongozi wa Ihefu

Yanga ni timu kongwe kuliko timu zote zinazocheza ligi kuu.Ni timu iliyotakiwa kuwa mfano kwa mafanikio ya kimataifa kwa timu za ndani.
Hata hivyo jambo hilo limekuwa gumu sana kwao hasa yanapokuja mashindano ya club bingwa.

Utaona ni wao wamekuwa mabingwa wa kihistoria kama wasemavyo,lakini kitendo cha kucheza makundi tu,kwao ni hatua ambayo kwa miaka mingi imekuwa ni ndoto.
Mara ya mwisho walipocheza hatua hii walikuwa wa mwisho kwenye kundi lao.

Kwa sasa viongozi hao wamefuta kumbu kumbu zote,wakiiona timu yao kama Ihefu ambayo imeibuka tu hivi karibuni,wakija na kauli za eti kuifundisha Simba jinsi ya kuvuka hatua ya robo fainali!Kauli hii ni kichekesho kidogo kwa watu wanaofikiria
Kauli hii ingesemwa na viongozi wa Ihefu ingekuwa kuntu lakini sio kwa hawa vijeba.

Hata hivyo ni aibu kwa timu tuliyotarajia ingekuwa na historia nzuri klabu bingwa kwa kuwa yenyewe ndio imecheza Mara nyingi zaidi kama muwakilishi wa taifa, leo wanajizima akili wakijiona watoto wadogo wanaokwenda kumuonesha mkubwa wao ( Simba) jinsi ya kucheza hatua zaidi ya robo ambayo wao wana miaka zaidi ya 20 hawajaifikia.
Kweli ninyi role model wenu ni Simba,na msipovunja rekodi ya Simba hampati furaha
Sawa muzeye....
 
1993 kulikuwa na mshindano matatu ya CAF
1) African cup of winners' cup
2) African cup of champions club
3) CAF cup

Michuano aliyocheza Yanga fainali inamruhusu bingwa wa hiyo michuano kukipiga kwenye Super cup dhidi ya bingwa wa klabu bingwa, sasa unafananisha vipi na michuano ya CAF cup ambayo bingwa wake achezi super cup?
Upo sahihi na mbaya zaidi waandishi uchwara na wachambuzi wavivu wasiopenda kufanya utafiti watalinganisha cafcc na caf cup
 
Kipindi Yanga anaingia makundi 1998 nyie mlikua wapi?
Nani Utopolo???? Kipindi anakua wa mwisho kwenye group???? Aaaaaa ujinga Gani huuu unaongea wewe Mwiko nyuma[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
 
Back
Top Bottom