kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Kiongozi mwandamizi hana gari binafsi yakutembelea amekalia kutumia gari ya umma kufanya shughuli za Kiserikali na shughuli za familia bila kujali masaa ya kazi kwa madreva na wasaidizi wengine.
Ninaishi na mzee mmoja hapa anatumia gari ya Serikali kama yake binafsi, kila sehemu anapokwenda yeye na familia yake lazima aite gari najiuliza huyu dreva wake anafanya lini shughuli zake binafsi?
Pamoja na mishahara mikubwa waliyonayo wanashindwaje kujenga na kununua gari za familia? Kwanini serikali isiwakopeshe nyumba na magari wawakate kwenye mshahara? Unafanya kazi twenty years unashindwaje kujenga? Christmas hii mmekalia kuwatumikisha wasaidizi wenu kwani wao Awana familia? Utumwa tu
Starehe na majungu tu, Serikali wawakataze hawa viongozi kutumia Mali za umma kwa Mambo yasiyo ya umma, walindeni madreva, walazimisheni Hawa watu kujitegemea.
Wakistaafu ndo wanakwenda kununua viwanja au nyumba kwenye matindiga ya maji kwa kuzoea kufanyiwa na Serikali huku wakikalia majungu, umungu mtu na starehe