Viongozi waanza kumshika mkono wa pole Mfalme Charles III

Viongozi waanza kumshika mkono wa pole Mfalme Charles III

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Toka Jana jioni Viongozi wa dunia wameanza kwenda kumpa pole Mfalme Charles III, pichani akiwa na Justin Trudeau, Waziri Mkuu wa Canada.

Poleni waanglikana wote duniani
images (38).jpeg
 
Uingereza ni ndugu zetu wa damu.
 
... hati za uhuru wa Tanganyika zilitolewa na Queen Elizabeth II na mumewe Prince Philip kuzikabidhi kwa Nyerere; Dar es Salaam usiku wa kuamkia Desemba 9, 1961 ambapo bendera ya Uingireza ilishushwa na ya Tanganyika ikapandishwa rasmi. Hata kama ulikuwa ukoloni, Tanganyika inapaswa kushiriki mazishi ya the Queen.
 
... hati za uhuru wa Tanganyika zilitolewa na Queen Elizabeth II na mumewe Prince Philip kuzikabidhi kwa Nyerere; Dar es Salaam usiku wa kuamkia Desemba 9, 1961 ambapo bendera ya Uingireza ilishushwa n
a ya Tanganyika ikapandishwa rasmi. Hata kama ulikuwa ukoloni, Tanganyika inapaswa kushiriki mazishi ya the Queen.
Hakika. Ipo haja ya vijana kujifunza historia
 
They are not. They would've invited bibi tozo to the Queen Elizabeth's private funeral but they have invited south African president instead.
Kwahiyo tumejipeleka wenyewe tu??

Kwani huo msiba unahudhuriwa kwa kadi??
 
Back
Top Bottom