Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Sep 17, 2021 Thread starter #21 Nayeye tumjumuishe hapa Tajiri mpole said: Waziri Mkuu,kwakutudanganya Rais wetu kipenzi yupo poa anasoma Mafaili,Kumbe either alikuwa anapumulia Mipira au Kwenye chumba cha Barafu. Click to expand...
Nayeye tumjumuishe hapa Tajiri mpole said: Waziri Mkuu,kwakutudanganya Rais wetu kipenzi yupo poa anasoma Mafaili,Kumbe either alikuwa anapumulia Mipira au Kwenye chumba cha Barafu. Click to expand...
Memento JF-Expert Member Joined Jun 13, 2021 Posts 4,423 Reaction score 9,986 Sep 17, 2021 #22 Waliokamatwa nyie ndio ntakuwa wa kwanza kusema wanaonewa Kama Hadi rugemalira kaachiwa, basi amini kwamba hakuna Mtu atakamatwa Tena nchi hii kwa ubadhirifu
Waliokamatwa nyie ndio ntakuwa wa kwanza kusema wanaonewa Kama Hadi rugemalira kaachiwa, basi amini kwamba hakuna Mtu atakamatwa Tena nchi hii kwa ubadhirifu