Strong ladg
Senior Member
- Jul 15, 2021
- 170
- 445
Jeshi la Mali limethibitisha kuwakamata viongozi wakuu wa tawi la IS katika eneo la Sahara . Viongozi wa tawi hilo lijulikanalo kama Islamic State in Greater Sahala ( EIGS kwa Kifaransa)walikamatwa kufuatia operesheni ya kijeshi iliyofanyika mnamo Januari 3 2025 katika eneo la Amasarakad linalopatikana katika mkoa wa GAO.
Viongozi waliokamatwa ni Mahamad Ould Erkehile, Abou Rakia pamoja na Abou Hach.
Viongozi hao wanatajwa kuwa vinara wa kupanga na kuratibu mashambulio mbalimbali ya kigaidi nchini Mali tangu mwaka 2012.
CHANZO : Shirika la habari la Mali ( ORTM).
Pichani: Mahamad Ould Erkehile