Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

Hujui kama kuna ugonjwa wa Corona,unalinganisha vipi kipindi cha maziko ya Moi na sasa, ndio maana mnaambiwa wa darasa la saba,uwezo wa kufikiri ni mdogo sana.
 
Hujui kama kuna ugonjwa wa Corona,unalinganisha vipi kipindi cha maziko ya Moi na sasa, ndio maana mnaambiwa wa darasa la saba,uwezo wa kufikiri ni mdogo sana.
Mkuu hujakosea mimi ni la7d

Ila wajumbe wa lasaba wamekula kichwa cha PhD holder
 
Sio kumwamini tu so far ameshaplay part gani yenye tija kwa taifa zaidi ya uongo tu?
 
Ameongea Cheap minds or you are being too cheap in thinking??
Kwahio unataka kusema hao wakuu wa nchi wote waogopa kuja kwa sababu ya corona?? yaani TZ imekuwa kama unaingia kwenye wodi ya yagonjwa wa korona bila barakoa??

Hio kama ndio ssababu yao basi ni upuuzi tu
 
Rais wa Burundi sikumtegemea kuja kabisa. Rais ni mpya na nchi yake haina uhakika wa ulinzi aende ziara ya kwanza kuzika badala ya kutembeza bakuli kama wanavyofanya viongozi wa Afrika kwenye ziara zao za kwanza ni ajabu.
 
Kwahio unataka kusema hao wakuu wa nchi wote waogopa kuja kwa sababu ya corona?? yaani TZ imekuwa kama unaingia kwenye wodi ya yagonjwa wa korona bila barakoa??

Hio kama ndio ssababu yao basi ni upuuzi tu
Huo ni mtazamo wako ambao umewakilishwa na hisia tu!Mungu katuumbia akili na utashi,na Kwa mazingira ya sasa wanasayansi pamoja na Rais wetu wanakiri ipo na kwamba tuchukue hatua na kuepuka mikusanyiko isiyo na lazima sana!hivyo uwezi kukaa na kuwa mtu wa malaumu Bila msingi,hata wao kutokuja physically pengine ni tahadhari-kushusha bendera za nchi zao ni heshima pia otherwise labda kama Bado tuna mawazo ya ujima Karne hii ya 21."watu huangamia Kwa kukosa maarifa"
 
They perceive Tz as risky - Covid 19. RIP daddy Mkapa.
 
Meko hana diplomasia ya kimataifa yupo yupo tuu.......

Ndicho tulichosema tangu huyu jamaa anaingia madarakani kwamba tutatengwa kimataifa.......

Amekejeli sn juhudi za kimataifa kuhusu corona katukana mataifa jirani kua watakufa kwa njaa na wakija wauziwe chakula kwa bei ya juu......huu ni ushamba na ulimbukeni na haya ndio matokeo....

Amekuja mkombozi na mzalendo kwa kweli TUNDU LISSU....mtwende nae hapo October 28 arudishe hadhi ya nchi yetu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…